Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mkuu pole sana,nmesoma comment nyingi majibu hayajawa rafiki upande wako,naweza kukusaidia kuepukana na hili,haina malipo ni bure
 
Me naona wa hivi hata wasithubutu kuzaa. Aishi single tu nani anataka kuolewa na shoga au kuwa na baba shoga. Baki single bro usioe wala usizae usije kuleta huzuni kwenye maisha ya wasio na hatia
Siyo kweli wako wengi tu wameolewa na mashoga na wanao watoto kabisa tena watu wazima.
 
Naona shetani yupo kazini tena mchana kweupeee!
Indeed you're a gay in the making.

Kinachokuumiza Zaidi Ni hyo " bad mentality" uliyonayo kichwani mwako.Unatakiwa ubadilishe mentality yako from a negative mentality to a positive one.Jisemee kwamba wewe Ni mwanaume kamili na Wala hutakiwi kujenga hisia za kimapenzi kwa wanaume wenzio kwa namna yoyote ile.

Kama unamiliki vitu vyovyote ambavyo vinahusiana na kusupport maswala ya ushoga achana navyo Mara Moja na uvitupilie mbali kbsa.

Wekeza hisia zako zote kwa Demi wako na umpende kwa dhati na kila kitu litakuwa shwari tu.
 
Mkuu pole sana,nmesoma comment nyingi majibu hayajawa rafiki upande wako,naweza kukusaidia kuepukana na hili,haina malipo ni bure

Weka hapa muongozo,wengine hao unaweza kukuta Ndio mambo Yao ila wakiwa kwenye public ni wakali.
 
Njia ya kuwa normal ni nini? Sijaweka uzi huu ili niendelee kuumia ila nahitaji msaada wa kuwa normal
Ni process. Maana umeingia kwenye ulevi wewe mwenyewe. Njia ya kuacha ni wewe mwenyewe kubadirisha mfumo wako wote wa maisha. Kama unaweza anza kuacha kutumia smart phone. Tumia Kwanza za batan tu. Computer tumia kwa kazi za ofisini tu. Ikiwezekana muda mchache halafu iache hapo hapo ofisini. Anza na hilo kwanza
 
Naona shetani yupo kazini tena mchana kweupeee!
Indeed you're a gay in the making.

Kinachokuumiza Zaidi Ni hyo " bad mentality" uliyonayo kichwani mwako.Unatakiwa ubadilishe mentality yako from a negative mentality to a positive one.Jisemee kwamba wewe Ni mwanaume kamili na Wala hutakiwi kujenga hisia za kimapenzi kwa wanaume wenzio kwa namna yoyote ile.

Kama unamiliki vitu vyovyote ambavyo vinahusiana na kusupport maswala ya ushoga achana navyo Mara Moja na uvitupilie mbali kbsa.

Wekeza hisia zako zote kwa Demi wako na umpende kwa dhati na kila kitu litakuwa shwari tu.

Mpaka ninafikia hapa nimeshapambana sana kivyangu vyangu
 
dogo kupitia huu uzi wako una kili kabisa kua wewe ni shoga

nyie mbinguni mtakua kuni kabisa

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
 
dogo kupitia huu uzi wako una kili kabisa kua wewe ni shoga

nyie mbinguni mtakua kuni kabisa

Sent from my SM-G950U using JamiiForums mobile app
Unaona ... Me nilivyosoma andiko lake sikuhisi nasoma mtu anayeumia hisia, ni mtu almost yuko proud, kumbe top mzoefu huyu anajifanya kaomba namba hajui ya nn, unaowataka utapata fungua pm
 
Back
Top Bottom