cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] waache wakurupuke, watajua hawajuiHuyu ni suala la muda tu si ana tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] waache wakurupuke, watajua hawajuiHuyu ni suala la muda tu si ana tamaa
Mbna kasema ni boy jaman.Umesema kuwa ulianza sex mara ya kwanza ukiwa na miaka 14. Je ilikuwa na boy or girl?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naishia kutazama tyuuuh.Tatizo wabongo tumejawa unafiki sana huwa hatupendi ukweli. Na tukiambizana ukweli tunachukia tunajidai hivyo vitu havipo wakat vipo na tunaviona kila siku
DohDaaa pole sana mkuu, afu nimekuhurumia sana aisee daaaaah. Nlitamani san kula jichi dem wangu akanitunuku mwezi uliopita hii kitu ipo overated wala sio tam sana kama watu wanavyoisifia. Na yeye ndo ilikuwa mara ya kwanza akasema nlitaman pia kujaribu
Atakuwa moyoni anaipenda hii dhambi. Kitu ambacho hukitaki utakitoa kwa magumi na mateke. Ila kila nikisoma justification anazozifanya ni kuwa ameamua kuwa hiviUgumu unatoka wapi kuacha kama haupendi?
Ok sikuonaMbna kasema ni boy jaman.
Mkuu wala aipiganii NGOs, ila kwa uelewa wangu ni za.muhimu sana. Watu mnachanganya tu kazi za hizo NGOs,Sijaona sehemu kuonyesha umetumia jitihada gani kujitoa kwenye hali hiyo, kwa maana unaifurahia japo unatumia mwamvuli wa kulaumu hisia zako.
Lakini pia, naona unapigania sana NGOs. Hizi NGOs ndio zitaharibu watoto watakua wakiamini kwamba ushoga ni sehemu ya maisha na wao wanaweza kuchagua kua mashoga.
Kama hizo NGOs kazi yake ni kuwafundisha kufanya ngono salama badala ya kuwafundisha kujikwamua kutoka kwenye ushoga, hatuzihitaji kwakweli.
Pambana wanao wamjue na kumpenda Mungu, personally bila force. Hapo ndipo ilipo pona yao. Else ni gambling. Maana pressure ya ulimwengu ni kubwa sana, kwenye Tv nyumbani, mtaani, shuleni na kila mahali.Inaumiza sana, naumizwa sana na kuona mwanaume n guy. Nashukuru kwa Elimu dhidi ya watoto wangu.
Wazazi tuzidi kuomba MUNGU Hali n mbaya sasa.
Je utashauri nini zaidi?
Mwanzoni niliposoma niliona kama ni mtu anahitaji msaada ila kadri uzi unavyotembea nimegundua same thing, anafutahia hayo maish na possibly ana NGO ya hizi mambo. Na huu uzi inawezekana ikawa sehemu ya psychological warfare ili kuwa condition Wabongo ku normalize ushoga ikiwa ni stage ISijaona sehemu kuonyesha umetumia jitihada gani kujitoa kwenye hali hiyo, kwa maana unaifurahia japo unatumia mwamvuli wa kulaumu hisia zako.
Lakini pia, naona unapigania sana NGOs. Hizi NGOs ndio zitaharibu watoto watakua wakiamini kwamba ushoga ni sehemu ya maisha na wao wanaweza kuchagua kua mashoga.
Kama hizo NGOs kazi yake ni kuwafundisha kufanya ngono salama badala ya kuwafundisha kujikwamua kutoka kwenye ushoga, hatuzihitaji kwakweli.
Umesoma vizuri comment yangu? Au umekurupuka tyuuh? Kwani nani hajui maana ya ushoga/shoga? Sasa nikuambie naujua ushoga kuliko hata huyu mtoa mada. Na nikupe taarifa sasa huyu mtoa mada sio shoga (gay), ila ni bisexual ambaye anaplay nafas 1 iliyo ndani ya ushoga/gaysim ambayo ni BOTTOM.Shoga ina maana zote mbili, anaingia na anayeingiliwa.
Ndo hivyo.Ok sikuona
Gay anaerect pia, na anaweza kusex na demu pengine vizuri kuliko hata straight men, shida ni feelings hakuna, au kazi kuzipata , sometimes hadi utumie pills.Nimepata point za msingi sana.
Jambo moja tu hujaeleza hapa ambalo sina jibu lake.
Unaweza kusex na demu kawaida?
Maana huwa tunasikia hamuwezi kufanya hivyo
Dah! .Bora tu ufake familia zetu kuelewesha kazi mno haya mambo maana ni kinyume ,
Unaambiwa uende kwa wachungaji hao hao wachungaji balaaa,kashfa za kanisa la Roma kule Italy ndio usiseme
Hebu dadavua hapa kwani, watu wapate kuelewa.Kuna tofauti ya ubongo wa gay na wa straight,,,madaktari wa ubongo wanajua hilo (Neuroscientists) Kwahyo ushoga sio tabia ya nje ni kitu cha ndani kabisa....na wanazaliwa hivyo
Duh , mkuu uelewa wako bado mdogo kiasi, mbona wanaishi maisha marefu tu, hadi kuzeeka pia , labda unaongelea hao unaowajua around you. Shida wengine mpaka wanakufa hutakuja kuwahi kujua kama ni gays. Cha msingi kuombeana uzima.Nyie machoko huwa hamuishi maisha marefu. You're full of guilt in your filthy, perverted, consciences: plus you're full of deadly diseases that shorten your life spans significantly.
Tupambanaje na ushoga?Umesoma vizuri comment angu? Au umekurupuka tyuuh? Kwani nani hajui maana ya ushoga/shoga? Sasa nikuambie naujua ushoga kuliko hata huyu mtoa mada. Na nikupe in4 sasa huyu mtoa mada sio shoga (gay), ila ni bisexual ambaye anaplay nafas 1 iliyo ndani ya ushoga/gaysim ambayo n BOTTOM.
Huyu mtoa mada hajaongelea ukweli wala uhakika kuhusu lengo lake alonuwia kulileta hapa, ila hapa katoa historia ya maisha yake juu ya mlengo wa hisia zake. Ningeweza kujadiliana nae ktk huu uzi, ila nilipofikia pale aliposema kuwa anajichukia na anachukia hali hiyo, huku pia hawezi kujinasua wala kujitoa ktk circle hiyo, ndo nkaona kabisa sina cha kuzungumza nae,
Niko nae pamoja ktk suala la kuzuia au kupunguza ongezeko la mashoga, japo pia hajaweka vitengo muhimu au mahususi.
Ushoga n suala pana sana, linalohitaji akili,ufahamu,na uelewa ktk kupambana nalo.