Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Umbea pambeeeeeh, si hit maker wa "kinoma noma" aliyeimbaga na ex basha wake, kumbe nayee anabokolewa khaaah, [emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]

Huhuhuhuh
Yani hapo ndio umeniacha kabisa kwenye kinomanoma hebu weka code rahisi mwenzio umande nilipishana nao kuelewa code hadi Niwe na dictionary.
 
Daah wanawake kwa tamaa zenu ndio maana hata mkifukuliwa mitaro mnaona kawaida tuu , aisee kwa tamaa hizi kuchomolewa mafigo ni kazi nyepesi Sana
Huyo anaonekana wa uswahilini sana mkuu, ndio maana akisikia Dubai matundu yote yanamuwasha. Sasa mie nitishike na Dubai kwa kipi cha ajabu maana kama nikitaka kwenda nakwenda kwa pesa yangu.
 
Unavyopenda sasa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Siku hizi Inaitwa "blue band" chezea weyeeeeeeeh.
Mimi napenda hizo street terminologies. Za kibongo

Msimu inazuka na kupoteza ndani ya jamii

Afu we mi sipendi samadi bhana wala sijawahi lila samadi abadani asilani.

Mimi mdau vajayjay naihusudu sana hii kitu na ile harufu yake ya asili huwa nakaza sana nikiivuta[emoji2][emoji3577]

How comes nivute harufu ya samadi[emoji15]

Ila daaah

Anyway mi siwahukumu gays na lesbians

Mambo yao niwaaachie wenyewe.
 
Mimi napenda hizo street terminologies. Za kibongo

Msimu inazuka na kupoteza ndani ya jamii

Afu we mi sipendi samadi bhana wala sijawahi lila samadi abadani asilani.

Mimi mdau vajayjay naihusudu sana hii kitu na ile harufu yake ya asili huwa nakaza sana nikiivuta[emoji2][emoji3577]

How comes nivute harufu ya samadi[emoji15]

Ila daaah

Anyway mi siwahukumu gays na lesbians

Mambo yao niwaaachie wenyewe.
Na uwaachie tyuuh, kapambane na vajayina hizo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa dimpo mpya gan? Huyu dimpo bila Basha wake yule boss wa Mombasa angekuepo had Leo? Na ashukuru tyuuh alikochimba limbwata na lina kismat, kagharamia mamilion ya matibabu yake kule South, pia alivyopona sasa range rover, appartment, na life style mweeeeh, yule kayapatia bhana..
Dimpo loooh bata anakula bwana kampata[emoji41]
 
Imeandikwa usihukumu.....hukumu ni kazi ya Mungu.....
1 Kor 6:9 SUV

Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti

[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312] na hii pia imeandikwa
 
Dimpo loooh bata anakula bwana kampata[emoji41]
Gavana Joho wamjua wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Ila dimpo anakula life nyie, hatq mademu hawaoni ndani lol.

Akipost insta sebulen pake, mama weee insta ilitikisika aseeeh lol.
[emoji23][emoji3][emoji23] yule alikopata dawa kaokota kweli. Mweeeeh.
 
Kiukwel mie ni muhanga wa kusumbuliwa sana na hawa mashoga, ni wengi mnoo....
Ila kuna mmoja ana kampuni ya Tours (anapeleka wabongo nchi za nje) kwa kumuangalia ni mwanaume kabisa na tulianza mazoea kidogo kidogo mwishowe yakazidi.

Kuna wakati alisafiri kwenda USA na tulikuwa tunawasiliana mara kwa mara na wakat anarudi alininunulia simu Samsung S10+ wakati ndio zinatamba. Sasa wakati wa kuchati ikawa makopa kopa kwa sana ikabidi nimuulize babu vipi mbona sikuelewi pigo zako mwanangu. Ndio akaniambia ukweli kuwa ananipenda sana na yupo tayar kunifanyia chochote.....

Kiukwel nilichoka sana, sasa ndio akawa analazimisha nionane nae ila nikawa namgomea, kuna siku akawa anaandaa tour ya Dubai akaanza kunishawishi kuwa nimkubalie atanilipia kila kitu ili nikamgongee huko Dubai ila nikamkatalia, na ushahidi wa screenshot ninao ila nahofia kuweka humu maana nahisi jamaa na yeye atakuwepo JF.
We jamaa yani ulikubali zawadi ya simu kutoka kwa mchizi kabisa yani kindezi tu aisee.

Huenda ulimkula aisee.
 
Acha bas usiendele end of the day nitamkuta babu yangu kwenye list yak
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Poleeeeh, nenda YouTube katafute wimbo wa kinoma noma utamjua.
Hahahahahah kumbe Sasa hapo nimeelewa , Kwa hiyo bwana dimpo anammind mwenzake kumchukulia bwana hapo kati, je yule mbwatukaji wa mtoni ye hayupo kwenye kilinge Cha kina kinomanoma na dimpozi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kadate san na Noel, alipojua domokaya why asimpige beat, but Noel kafa kaoza kwa kiba. Hata kiwizi wizi wanachachuka. Uwiiiiiih
Duuuh sa ukiwa star si madem kibao wanakupapalikia, hata uwe kimoko chali bado utapendwa kwa ustaa. Huwapi pesa wanakuja unawpiga rungu tu.

Sasa hizi bogosha zinazopapalila na mashoga niaje niaje tena.

Kuna mwanasanaa alinitonya kua hawa mastar sometimes wanaachwa na madem/wake zao sababu kubwa ni hiyo kupakua ama kupakuliwa, mke akijua na akiona haivumiliki anatafta kisingizio anachochora.
 
Back
Top Bottom