Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

Shukrani mkuu, gays wengi hasa wasiojinesha hawapendi hii hali ila hawana cha kufanya, ndio unakuta wengine wakijulikana wanajiua kama wale vijana na Arusha, sababu ni siri yao na imetoka , wanapoteza vingi na kuamua kujiua, mimi pia nawaza siku ikajulikana sjui itakuaje, ila Mungu asaidie nisije kujiua tu, hiyo roho ya kujiua iniepike, ila sitaweza kuhandle hiyo situation.

Kama kweli hiyo hali huitaki nenda katibiwe. Nina uhakika wa 100% tatizo lako lina tiba. Niliwahi kuona kwenye TV Ughaibuni huku Mshikaji alikuwa na hali kama yako, Madaktari wakasema ana Homony nyingi za Kike wakamtibia akapona. Sasa Mkuu kama hali ya kuwekwa Dogstyle na wanaume wenzio huipendi nenda Asia, nadhani Thailand au Philipine watakutibia utapona. Otherwise enjoy maisha uliyochagua.
 
Hakuna mwanaume rijali atakubali usen*e huo. Ukionana na mwanaume anafurahia hata kushikwa makalio, kuwa na wasiwasi. Hao wenzio wote watakuwa na wanaume mashoga.
wanawake tunaambizanaga wanaume wanapenda kuchezewa mikund* lakini siyo mashoga
 
Unajua nini nilikua nahis mume wangu ni shoga (tumeachana Sasa) kwasabu nilikua nikisafiri huku nyuma analeta rafiki yake wa kiume wanalala pamoja yaan nikimpigia simu pengine usiku nimefika safar yangu anakwambia nipo hapa na fulan analala hapa khaa halafu mi nikiwepo hao marafiki wa kulala siwaoni mpaka nikaanza kuhis vibaya, baadae miaka mingine akaanza kupenda nimnyonye mku*u na namuingiza kidole Cha mwisho lakini sikushtuka Sana kwasabu wanawake tunaambizanaga wanaume wanapenda kuchezewa mikund* lakini siyo mashoga, naomba uelewa wako kwwnye hili
uliolewa na choko huyo pigia mstari analiwa mpaka sasa.
 
Wacha mie nijifunze hapa, HIV karibuni nimepata boyfreand ambaye kabla yangu alishakua na madem wengi Sana, ila Kwa nilivyomuuliza na kumjua yaan hadumu Sana na wasichana na amezaa watoto wawili Kila mtu na mamaake,na katika story zake ni kuwa wanamcheat,Sasa tangu awe na Mimi jaman sex kwake siyo kipaumbele yaan mnalala mwezi hafanyi kitu hata kunikumbatia Hadi nilazimishe, siku akiamua kukufanya dakika chache Kako*a kitu kinachofanya tunagombana mara Kwa mara japo tukigombana haipiti wiki anaomba msamaha Sana lakini kunifanya Wala je na yeye anaweza kuwa gay? Ni mtu na Kaz yake ya heshima kijana handsome ,
Huyo shoga huyo a.k.a choko ila duh!! wee una nyota ya kuolewa na machoko, angalia usije zaa choko.
 
Ololoo yayee sijawahi ona Masai shoga Bado nitaendelea kuamini nyie mnao Iga maisha ya kizungu ndiyo mnakua mashoga nimekaa sana na jamii ya wamasai nikati ya jamii ambazo Mila na tamaduni zao zime enziwa vizuri
Tatizo lako umekaa mbwinde uko ndio maana hujawahi ona masai shoga nenda kurasini nyuma ya kanisa la roma utapata story ya masai shoga
 
Wacha mie nijifunze hapa, HIV karibuni nimepata boyfreand ambaye kabla yangu alishakua na madem wengi Sana, ila Kwa nilivyomuuliza na kumjua yaan hadumu Sana na wasichana na amezaa watoto wawili Kila mtu na mamaake,na katika story zake ni kuwa wanamcheat,Sasa tangu awe na Mimi jaman sex kwake siyo kipaumbele yaan mnalala mwezi hafanyi kitu hata kunikumbatia Hadi nilazimishe, siku akiamua kukufanya dakika chache Kako*a kitu kinachofanya tunagombana mara Kwa mara japo tukigombana haipiti wiki anaomba msamaha Sana lakini kunifanya Wala je na yeye anaweza kuwa gay? Ni mtu na Kaz yake ya heshima kijana handsome ,
Una nyota ya kudate na Mashoga yaan umetoka kwa Mume umehamia kwa Boyfriend, lol

[emoji23]
 
Sexual differences

Ni abnormality

Ila hii mada always ni sensitive ije kuongelewa watanzania wakija kukubali kuliongelea hili
 
Nilitekwa na penzi la Tomboy sijui mwawaita Studs, jamani tulipendana uwiii mie Mke wa Mtu hapo, penzi lilikolea nikataka nivunje na ndoa yenyewe [emoji119]
Basi tukajipanga tutoroke, khee nikajikuta nina ujauzito yeye akafurahi akasema atatulea atakua Mtoto wetu haina shida kabisa,
Mume akaja kufumania meseji hasa hapo kwenye ujauzito hapoooooo weeee akawa Mbogo eti damu yangu haipotei, hailelewi na Tomboy ukitaka zaa kwanza uniachie mwanangu, kesi ikafurukuta akatishia kunisemea nyumbani mmh familia yangu walivyo wakali nikawa sina namna zaidi ya kumuacha Tomboy wangu aende sasa hivi yupo Sweden bado twakumbukana japo mie akili kwa sasa ipo kwenye familia lakini loooh! Alijua kunidatisha mmmh!

Naungana na nyie katika kudai hizo haki, kila binaadam anastahili kuishi kwa Uhuru na Amani huku akipata mahitaji yote Muhimu.

Mmhhh alikuwa anakusaga kisimi? Mumeo hawezi?
 
Unajua nini nilikua nahis mume wangu ni shoga (tumeachana Sasa) kwasabu nilikua nikisafiri huku nyuma analeta rafiki yake wa kiume wanalala pamoja yaan nikimpigia simu pengine usiku nimefika safar yangu anakwambia nipo hapa na fulan analala hapa khaa halafu mi nikiwepo hao marafiki wa kulala siwaoni mpaka nikaanza kuhis vibaya, baadae miaka mingine akaanza kupenda nimnyonye mku*u na namuingiza kidole Cha mwisho lakini sikushtuka Sana kwasabu wanawake tunaambizanaga wanaume wanapenda kuchezewa mikund* lakini siyo mashoga, naomba uelewa wako kwwnye hili
Hakuna mwanaume anaweza kuwa comfortable na hayo matendo, narudia Tena hakuna.

Nina rafiki yangu fulani hivi, ni wale madada wa kimjini Mjini, in short ni mdangaji tu. Alikutana na jamaa akafika dau, then wakasepa wote mpaka hotelin. Walivyofika ndani Dem akadai chake mapema. Jamaa likamwambia nitakupa zaidi ya hiyo endapo utakubali kufanya ninachokitaka. Demu akajua Leo analiwa ndogo. Jamaa likamwambia nataka uninyonye tigo, unitie vidole do anything until mashine ya jamaa isimame. Maana nataka nikapige show kwa mke wangu, Ila Sina hisia na wanawake. Demu akamuuliza kama hiyo ndo njia ya kukufanya usimamishe, why usingechukua mwanaume akukaze ? Jamaa likamjibu kwa mwili wangu huu hata nimwambie mwanaume nampa milion 5, hakuna anayeweza kukubali kuingia na mm chumbani, wanahisi nitawageuza wao.

Demu alimtoza jamaa laki 5, lakin anakwambia ilifika hatua akataka kuomba arudishe hela aondoke. Maana alifanya jitihada kwa masaa karibuni mawili non stop, Ila jamaa mzigo umelala. Then ndo ikakubali. Na hata ilipokubali, jamaa likamwambia tuamshe fasta. Kufika kwenye gari Dem kazi yake ikawa ni kucheza na mashine hadi wanakaribia home kwa jamaa, then akapewa chake akasepa, jamaa akawahi home kwake kupiga show.

So hata huyo mumeo alikuwa shoga tu, na Kuna uwezekano kama usingekuwa unamfanyia hivyo, angekua mashine haisimami.
 
Back
Top Bottom