Kalamzuvendi
JF-Expert Member
- Sep 21, 2009
- 639
- 735
Shukrani mkuu, gays wengi hasa wasiojinesha hawapendi hii hali ila hawana cha kufanya, ndio unakuta wengine wakijulikana wanajiua kama wale vijana na Arusha, sababu ni siri yao na imetoka , wanapoteza vingi na kuamua kujiua, mimi pia nawaza siku ikajulikana sjui itakuaje, ila Mungu asaidie nisije kujiua tu, hiyo roho ya kujiua iniepike, ila sitaweza kuhandle hiyo situation.
Kama kweli hiyo hali huitaki nenda katibiwe. Nina uhakika wa 100% tatizo lako lina tiba. Niliwahi kuona kwenye TV Ughaibuni huku Mshikaji alikuwa na hali kama yako, Madaktari wakasema ana Homony nyingi za Kike wakamtibia akapona. Sasa Mkuu kama hali ya kuwekwa Dogstyle na wanaume wenzio huipendi nenda Asia, nadhani Thailand au Philipine watakutibia utapona. Otherwise enjoy maisha uliyochagua.