Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtafute insta dr methew anawasaidia kwanzia ki saikolojia mpka kimatibabu watu kama nyie... Twende mbele turud nyuma mm hata nikiwa naongea na mwanaume mwenzangu akinishika mkono katika maongez ua sjui namtafakar huyu n mtu wa aina gan kifup spend sasa sjui ww mwenzetu unapata wap hisia ad za kuvutia na utanashat wa beberu mwenzio
Hakuna jini mahaba ni nyege hizo, msitafute visingizioUnajinimahaba la kike ndiomaana unampenda wanaume hii kitu Huwa mbaya sana unakuwa unapendwa wanaume wenzako unatakiwa utolewe Kwa dawa za majini na upigwe kisomo Cha nguvu .
Ni quaran itatumika kukuponya
Ulivyosema "Ndio nipo hivyo",hapo ndio tatizo lilipo na umelipalilia wewe mwenyewe. Nikwambie tu kwamba uhuru ambao wanadamu tumepewa tuutumie kila mmoja wetu ataujibia kwa aliyetupa uhuru huo.Nafanyaje kutoa hizo laana…Ndio Nipo hivyo
Njoo pm nikuseidieNafanyaje kutoa hizo laana…Ndio Nipo hivyo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] you funnyBasi niwe ninacontact nae yaani hata sielewi
Please share your storyHilooo acha kutafuta choko wenzio I'm a woman, a clean one me I almost got married to a choko bwana so this is personal, nashangaa wanawake wanaotetea chokos waliooa, usithubutu kuoa no woman wants to marry a gay man pls.
Sehemu nyingi tu kwenye andiko lako zinaonyesha pride, yani ni unajitangaza in short huna remorse yoyote hatudanganyiki watakufwata huko pm lakini
Indeed it is an evil spirit that made a home in him. He is not gay. But he identifies as so because he identifies with the evil spirit. People who judge him are no better since they are playing God. Judging and vengeance is upon God only.Wachek wataalamu wa elimu za kiroho pia watu wa ushauri au wabobezi kwenye tiba za magonjwa ya kiroho. Ushoga ni roho chafu kama zilivyo za ulevi, uzinzi, umalaya, wizi, hasira,uteja nk vyote hivi vinatibika.
Why do u carePlease share your story
Naungana na wewe hasa hapo kwenye mfumo wa ulaji. Wengi hawajastukia agenda ya wazee wa NWO.Kujiendekeza tu. Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzio hiyo ni dalili ya ushoga.
Wengi mnaathiriwa na ulaji mbovu matokeo yake mnashindwa kuwatomba vilivyo wanawake hali inayopelekea kusingizia kuwa mna hormone imbalance kati ya za kike na kiume.
Kwa jamii yetu ya Kitanzania hakuna wakati ambao ushoga na usagaji vitakuja kukubaliwa.
Hakuna jambo linaumiza nafsi kama kuwa na mtoto halafu akawa shoga au msagaji ni very painful na utatamani usingekuwa naye.
Badilisha style yako ya ulaji. Acha Kula chipsi na bites kama vile biscuits. Kula sana vyakula vya kuupa mwili wako nguvu kama mbogamboga na ugali kwa wingi.
Acha kujilegeza legeza kama mwanamke. Mwanaume unatakiwa kuwa mkomavu kwa kila kitu.
Lakini kuna wengine mmeamua kuwa hivyo kwa lengo la kukwepa majukumu hasa ya kifamilia. Kama hauna kasoro oa mwanamke uzae naye watoto utunze familia yako.
Ni aibu sana kujiingiza kwenye ushoga / usagaji kwa kisingizio Cha umeumbwa hivyo.
MUNGU HAKOSEI