cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hisia huwa zinaachwa? Labda km umeumizwa na partner wako, pia hutaacha ila utapumzika kwa muda.Yote uliyosema ni kweli yatatokea..
Ila nirudi kwako, binafsi hujawahi kutamani kuacha hii tabia ya ushoga? Umeshawahi kupata msaada wowote ili uachane na hii tabia mbaya na ovu machoni pa watu na Mungu pia?
Msaada wa kuachisha hisia za mtu ndo ukoje huo? Yaan hisia za mtu eti ni ovu kwa watu, sasa watu wa nje ndo waliobeba hisia zake? Na ovu kwa Mungu, je km muhusika sio mfuasi wa Huyo Mungu, na haamini km yupooo?
Unajua unachokizungumza lakini? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app