Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu waziri ana wafanya watanzania ni wapuuzi.
Daah hapa nipo gizani ninalaani balaa.
Kila siku mtaani kwangu lazima umeme ukate tu kama sio mchana ni usiku aaaah
 
Kahama kuna Laini ya Lugela kila siku inasumbua....... Kila siku hatuna Umeme.
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Wewe unavyoona sababu za kutika kwa umeme ni zipi
 
Ile drone ya iran iliyokata umeme pale ukireni imeruka mpaka vichuma vyake fikadondokea pale ruvu.hamjuagi durone nyie
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
 
Back
Top Bottom