Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

Daah hapa nipo gizani ninalaani balaa.
Kila siku mtaani kwangu lazima umeme ukate tu kama sio mchana ni usiku aaaah
Unaripoti ukiwa wapi?

Huku nilipo wameshauchukua sasa, apa mpaka saa moja usiku
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Escom imeharibiwa na mafisadi wa Anc ambao hawana huruma. Uliza huko nyuma kama umeme ulikatika huko South Africa
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
skope yako ya kuelewa na kudadavua mambo ni ndogo sana jaangu. sijui ulisoma hadi wapi na kama ulisoma ulikuwa unaelewa kweli au ni wale wa vinondo?
Tutamlaumu sana January kwakuwa hatumpendi/alidukuliwa na mwendazake.
ivi katika nchi inayotegemea HEP kama nchi hii ya wanyonge na kwa jua linalowaka bado unataka umeme uwake kwa kiwango kilekile?
mbona hulaumu kuhusu mgao na ukosefu wa maji?
tatizo sio mgao wa umeme, tatizo bwawa la nyerere na kalemani kuondoshwa
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Wanaunda Kikosi kazi kwanza
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Acha kufananisha matatizo, hayakupeleki mbele tatua tatizo. Sasa hivi upigaji ni mwingi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Kumwelewa January inataka uwe chizi, usiyejitambua, bado ana notion ya kwamba watanzania wanaweza kudanganywa kirahisi kama enzi za Richmond na Dowans!!
 
Back
Top Bottom