Mambo ya ajabu yamelighubika taifa letu. Umeme unakatika ovyo huku Waziri mwenye dhamana anadai kuna Megawatts 14000 za ziada

Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Unayemwambia maneno haya kasalimisha akili na uelewa wake wote kwa hayati JPM, hawezi kukuelewa zaidi zaidi atakutana tu.
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.

Maswali mawili muhimu;

1. Umeme unaozalishwa kwenye vyanzo vyote nchini ni MW ngapi?
2. Mahitaji ya umeme nchini ni MW ngapi?

Kukatika kwa umeme kwaweza kusababishwa na upungufu au ubovu wa miundombinu katika usafirishaji.
 
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?

ESCOM ya South Africa nayo mbona Ina matatizo tu sawa na TANESCO yetu!! Sisemi kuwa kwa vile wanakatikiwa lazima na sisi tukatikiwe bali matatizo ya sekta ya umeme kwa nchi za Africa yanafanana. Angalia hata ZESCO ya Zambia
Kwa hiyo wewe mhuni zile threads ambazo huwa unatoa kuponda awamu ya tano huwa unalipwa? Au ndio ile ukikipenda wewe tukipende wote na kinyume chake.
 
Maniner naamka simu ina 8% na najua apa kurudi hadi jion dah
 
Daah hapa nipo gizani ninalaani balaa.
Kila siku mtaani kwangu lazima umeme ukate tu kama sio mchana ni usiku aaaah
Usisahau Mzee Makamba alisema "Nchi imerudi kwa wenyewe na hatutaruhusu wa kuja kutawala tena kamwe". Bila maombi kwa Mungu wa Mbinguni TZ tutateseka sana na hao "wenyewe".
 
Kwa hiyo wewe mhuni zile threads ambazo huwa unatoa kuponda awamu ya tano huwa unalipwa? Au ndio ile ukikipenda wewe tukipende wote na kinyume chake.
Rudi kwenye threads zangu tukapamnane kwa hoja. Usinifananishe na huyu Nyankurungu2020 ambaye ni msukule wa Mwendazake.. Huyu anahitaji tiba
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.

Dhalimu alipora uchaguzi akajaza wanaccm bungeni na kila mahali, sasa wahoji huo umeme nini shida.
 
Kwa hiyo wewe mhuni zile threads ambazo huwa unatoa kuponda awamu ya tano huwa unalipwa? Au ndio ile ukikipenda wewe tukipende wote na kinyume chake.
Tatizo ni kwamba wahuni wakubwa wamejaza wahuni wadogo huku mitandaoni ili kuwatetea kwenye kila ukweli unaosemwa kuhusu michezo yao mibaya ya kifisadi wanayoiendeleza.
 
Dhalimu alipora uchaguzi akajaza wanaccm bungeni na kila mahali, sasa wahoji huo umeme nini shida.
Dah we jamaa wewe! Haya ngoja tuone uchaguzi ujao utakuaje ambao mpora uchaguzi hayupo tena.
 
Hakuna mtu anayejitambua atajitokeza kupiga kura kwa muundo huu wa uchaguzi na tume hii.
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Siku mkijua namna bora ya kumtambua kiongozi alie bora na mwenye uchungu na taifa lenu , mtakua mmepevuka
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Na hakuna wa kumfanya lolote.

Tuendelee kuokoteza viraka vya kale ili tufutane machozi....

Wananchi watajiju wewenye
 
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.

Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.

Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Kinachokusumbua wewe ni usukuma gang
 
Back
Top Bottom