Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Baba hauchoki tu?Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu waziri ana wafanya watanzania ni wapuuzi.
Kinachonishangaza kwa sasa CCM wanaitana wenyewe kwa wenyewe waongo halafu wanataka CHADEMA iwapige tafu.Mimi sio baba yako. Pumbavu
Daah hapa nipo gizani ninalaani balaa.Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu waziri ana wafanya watanzania ni wapuuzi.
Khaa, ashikilie hapo hapo kwenye mgao wa umeme?Makamba shikilia hapo hapo
Naunga mkono hoja....Makamba shikilia hapo hapo
TANESCO mtaa wa KIHODOMBI Iringa wamewakosea nini? Kila siku mnawakatia ila mitaa mingine wanakula bata. Msiwaonee wanyonge.
Wewe unavyoona sababu za kutika kwa umeme ni zipiKwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Unalipwa kiasi gani kwa hizi threads za chuki dhidi ya Awamu ya 6?Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.