MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Kwani lini watanzania wamekuwa wamekuwa na akili??wangekuwa na akili wangeitoa CCM. Ujinga wa watz uko hapo.Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Mkuu bado naona unazidi kuelezea hiyo nadharia ila bado sijaona cha kunishawishi kuona unachokieleza ndivyo kweli hali ilivyokuwa.
Habari za upigaji hazijawahi kudhibitishwa ni maneno matupu tu kama ngonjera😕Una haki gani kwamba yeye hakuwa mpigaji?. Mtandao wa watu wake haukuwa ni wa malaika walikuwa ni wezi tu na kibaya zaidi wakajifunza hulka mbovu za uonevu na kutaka kunyenyekewa.
Watu hutofautiana mitazamo ndio maana wengine wana mitazamo ya kwamba ccm bado inaendelea kuwa madarakani kwa sababu watanzania bado wajinga na ndio mtaji wa ccm watu bado wanaendelea kushabikia ccm hasa huko vijijini, ila wewe una mtazamo wa kwamba watanzania hawana tena ujinga na wameacha kushabikia ccm.Huo ndio ukweli, ww kuridhika hilo sio kosa langu ni lako.
Kwanza alijinasibu kurekebisha miundo mbinu iliuochakaa ya kusafirisha umeme.
Sasa hivi anadai kuwa tuna ziada ya Mw 1400 na huku mgawo wa umeme upo kila siku.
Huyu Waziri ana wafanya Watanzania ni wapuuzi.
Watu hutofautiana mitazamo ndio maana wengine wana mitazamo ya kwamba ccm bado inaendelea kuwa madarakani kwa sababu watanzania bado wajinga na ndio mtaji wa ccm watu bado wanaendelea kushabikia ccm hasa huko vijijini, ila wewe una mtazamo wa kwamba watanzania hawana tena ujinga na wameacha kushabikia ccm.
Sasa hao ndio unaosema wewe kuwa ni kizazi kipya cha mabadiliko? Ni pesa kiasi gani wanacholipa ccm hadi kuweza kufanya watu kukubali kusahau matatizo ya huu utawala wa ccm na kukubali kutumika na ccm?Watu huishabikia CCM wakati wa kampeni maana huingiziwa pesa za rushwa ili kuwahadaa. Kutokana na umasikini na ushawishi wa pesa, watu huweka shida zao pembeni kwa muda. Nenda baada ya kampeni uone madhila wanayokutana nayo kama kuna mtu anaitamani hiyo ccm.
Sasa hao ndio unaosema wewe kuwa ni kizazi kipya cha mabadiliko? Ni pesa kiasi gani wanacholipa ccm hadi kuweza kufanya watu kukubali kusahau matatizo ya huu utawala wa ccm na kukubali kutumika na ccm?
Ndio maana nakuuliza sasa hapo hicho kizazi kipya kiko wapi Kama mtu ukimpa pombe ya kienyeji tu inamtosha kukubali kutumika?Kwani lazima walipwe walipwe wote? Wengine ni pombe za kienyeji tu wanapewa, na vitisho vya nguvu ya dola vya dola pia hutumika.
Ndio maana nakuuliza sasa hapo hicho kizazi kipya kiko wapi Kama mtu ukimpa pombe ya kienyeji tu inamtosha kukubali kutumika?
Hivyo vitisho ni kwamba wanalazimisha watu kwenda kwenye kampeni kwa hivyo hata wewe ukipewa hivyo vitisho utaenda kwenye kampeni za ccm?
Hata chadema ililazimika kumchukua Lowassa akitokea ccm na tukaambiwa kwamba Lowassa ana ushawishi, sasa sijui waliona sera zao chadema hazikuwa na ushawishi au vp ila inajulikana Lowassa ana hela.Ukiona unalazimisha kutoa pesa ili ujenge ushawishi nje ya sera zako kuwa ushawishi, uju uko nje ya muda.
Huko vijijini ni rahisi kutoa vitisho na wakaogopwa. Lakini hata huku mjini unaweza kupewa vitisho vya kuhujumu eneo lako la kujiingizia kipato, na ikabidi ukubali ili kunusuru shughuli yako.
Hata chadema ililazimika kumchukua Lowassa akitokea ccm na tukaambiwa kwamba Lowassa ana ushawishi, sasa sijui waliona sera zao chadema hazikuwa na ushawishi au vp ila inajulikana Lowassa ana hela.
Muhimu hapa mkuu ni kwamba hakuna hicho kizazi cha mabadiliko unachokiongelea, watanzania wanaburuzwa na ccm pamoja na hao wapinzani.
Ndio maana nakwambia ujinga wa watanzania ndio hutumiwa na vyama vya siasa kuanzia chama tawala hadi upinzani, hao wanachama na mashabiki wa cdm kama wangekuwa huko kwa kuwa wanajielewa na wameshawishika na sera za cdm basi wasingekubali kuletewa Lowassa(kwa masilahi ya akina Mbowe) na wao wakashabikia kabisa na hadi leo wanaamini kwamba Lowassa ndio kaongeza idadi ya viti bungeni sijui ndio kafanya wapate kura nyingi zaidi.Kumchukua Lowassa ulikuwa ujinga na tamaa za pesa za Mbowe na genge lake. CDM ilikuwa inakubalika bila kumuingiza huyo mzee tapeli wa kisiasa. Na tunaojitambua mpaka leo tunalaani blunder ile. Hii ndio maana nashikilia mpaka leo Mbowe aachie cheo cha mwenyekiti CDM.
Kizazi cha mabadiliko kipo, labda useme ni kizazi cha waoga. CCM kama chama haina cha kutambia, bali mbeleko ya vyombo vya dola ndio silaha yao. CCM nje ya vyombo vya dola ni bora TLP. Unapoona chama kina miaka 50+ lakini kinategemea udhaifu wa katiba kukaa madarakani kwa shuruti, ujue hamna chama hapo.
Ndio maana nakwambia ujinga wa watanzania ndio hutumiwa na vyama vya siasa kuanzia chama tawala hadi upinzani, hao wanachama na mashabiki wa cdm kama wangekuwa huko kwa kuwa wanajielewa na wameshawishika na sera za cdm basi wasingekubali kuletewa Lowassa(kwa masilahi ya akina Mbowe) na wao wakashabikia kabisa na hadi leo wanaamini kwamba Lowassa ndio kaongeza idadi ya viti bungeni sijui ndio kafanya wapate kura nyingi zaidi.
Ni wazi ni ujinga wao tu unatumika basi, hakuna kizazi kipya cha mabadiliko wala nini na kingekuwepo ccm isingeweza kutumia hizo hela kuwalubuni.
Halafu kusema sijui watu waoga sio sahihi labda mtafute neno lengine, watu bado mnajaa wenyewe kwenye mikutano ya ccm bila kushikiwa bunduki na mnasema mnapelekewa na usafiri hadi eneo la tukio sasa hapo mnazungumzia uoga upi tena wakati watu bado wana mapenzi na chama na ujinga.
Hivi unafikiri kufeli kwa yale maandamano ya Mange na Lissu ni kwa sababu za uoga?
duh! upara nao unaingiaje hapa?Huku Igagala sikuhizi tushazoea kuishi gizani, labda Mungu azime jua na mbalamwezi ndio tutashangaa. Waziri mwenyewe ana upara unategemea nini
Akili ni nyweleduh! upara nao unaingiaje hapa?
mbona pep ana upaa na anawatandika EPL kama ngoma?Akili ni nywele