Mambo ya JF na zama zake

There are many cheap bitc*es here one of them this dangaji len
Mnamuonea Lenie amewakosea nini? Ni binti mchapakazi mwenye hela zake na anayejitegemea. Hategemei kudanga ili kuendesha maisha yake. Mbona JF ya sasa imekuwa ya kitoto namna hii jamani? Mtu decent anachafuliwa tu na Moderator wapo tu wanaangalia. This is cyberbullying, and it has to stop. JF iwe salama kwa wote. Inahuzunisha sana!
 
Kuna watu jf wanaichukulia serious sana
Unaweza ukawa unajifurahisha tu mtu analibeba kwa uzito...sijui ni kukosa kaziii
 
Ili mradi taflani tu.
 
Tushike lipi sasa kila mtu anasema lake.
 
Sasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.

Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.

JF imepoteza hadhi yake.
JF ya sasa ni bora kuliko hiyo ya kale iliyokuwa imehodhiwa na wachache walioonekana ndio nguli. JF ya sasa ni jumuishi na watu wenye critical thinking ya hali ya juu.
 

Nyege izo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…