Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Hatareee [emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Hatareee [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnamuonea Lenie amewakosea nini? Ni binti mchapakazi mwenye hela zake na anayejitegemea. Hategemei kudanga ili kuendesha maisha yake. Mbona JF ya sasa imekuwa ya kitoto namna hii jamani? Mtu decent anachafuliwa tu na Moderator wapo tu wanaangalia. This is cyberbullying, and it has to stop. JF iwe salama kwa wote. Inahuzunisha sana!There are many cheap bitc*es here one of them this dangaji len
Kuna watu jf wanaichukulia serious sanaWewe kula chuma hiko bff
Me na honey wangu Sweet Mangi tutawashauri tunawasubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unaona hekaheka tunazokutana nazo na nyingine nazipotezea huko huko piem
Kuna muda mtu anakupm kwaajiri ya kukwambia mambo ya Kantry tu!! Mpk unajiuliza hivi huyu angetujua kwa macho ya nyama si ingekuwa balaaa!!!
Yani jf kila sample zilizopo mtaani na humu zipo
Nimecheka…haki uko na moyo chuma😂Udugu wakinga tuna roho za paka hili dogo sana kwangu 😂😂😂😂
Hivi wanajua anachonipa chuggaman kwanza? Wanataka niachike watanikojoza wao? 🤣🤣🤣🤣
Uko sahihi. Nimeifukua thread iliyoripoti kifo chake.2021 nadhani, sina kumbukumbu nzuri.
Ili mradi taflani tu.JF hii ndiyo utawala wa JF unaipenda na ndiyo sababu ya kulitupilia mbali 'of Great Thinkers' na kubaki JF ya Mods wanapambana na members, huku members wanapambana wenyewe kwa wenyewe na vyura wamo wanakurupuka na kuanza kutukana huku Post aliyoifungua hajaisoma! Ili mradi tu katukana, ukiandika Post ya mawazo ukitaka utawala waiboreshe Mods wanakuparula na unaweza ukapigwa na banio.
Tushike lipi sasa kila mtu anasema lake.Mnamuonea Lenie amewakosea nini? Ni binti mchapakazi mwenye hela zake na anayejitegemea. Hategemei kudanga ili kuendesha maisha yake. Mbona JF ya sasa imekuwa ya kitoto namna hii jamani? Mtu decent anachafuliwa tu na Moderator wapo tu wanaangalia. This is cyberbullying, and it has to stop. JF iwe salama kwa wote. Inahuzunisha sana!
JF ya sasa ni bora kuliko hiyo ya kale iliyokuwa imehodhiwa na wachache walioonekana ndio nguli. JF ya sasa ni jumuishi na watu wenye critical thinking ya hali ya juu.Sasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.
Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.
JF imepoteza hadhi yake.
Upo sahihi kabisaHuu uteja wa kushinda jf hata tukiwa kwenye mihangaiko yetu haukuanzia leo na hii ni kutokana na umahiri wa wadau katika kuleta nyuzi zenye kuelimisha, kuburudisha n.K.
Hawa wazee ni 'conservative' mno, hawapendi mabadiliko kabisashida wazee wajf mnataka mambo yabaki vilevile ndio mana hata kazi mnatunyima
Mnamuonea Lenie amewakosea nini? Ni binti mchapakazi mwenye hela zake na anayejitegemea. Hategemei kudanga ili kuendesha maisha yake. Mbona JF ya sasa imekuwa ya kitoto namna hii jamani? Mtu decent anachafuliwa tu na Moderator wapo tu wanaangalia. This is cyberbullying, and it has to stop. JF iwe salama kwa wote. Inahuzunisha sana!