Mambo ya JF na zama zake

Mambo ya JF na zama zake

There are many cheap bitc*es here one of them this dangaji len
Mnamuonea Lenie amewakosea nini? Ni binti mchapakazi mwenye hela zake na anayejitegemea. Hategemei kudanga ili kuendesha maisha yake. Mbona JF ya sasa imekuwa ya kitoto namna hii jamani? Mtu decent anachafuliwa tu na Moderator wapo tu wanaangalia. This is cyberbullying, and it has to stop. JF iwe salama kwa wote. Inahuzunisha sana!
 
Wewe kula chuma hiko bff
Me na honey wangu Sweet Mangi tutawashauri tunawasubiri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si unaona hekaheka tunazokutana nazo na nyingine nazipotezea huko huko piem
Kuna muda mtu anakupm kwaajiri ya kukwambia mambo ya Kantry tu!! Mpk unajiuliza hivi huyu angetujua kwa macho ya nyama si ingekuwa balaaa!!!
Yani jf kila sample zilizopo mtaani na humu zipo
Kuna watu jf wanaichukulia serious sana
Unaweza ukawa unajifurahisha tu mtu analibeba kwa uzito...sijui ni kukosa kaziii
 
JF hii ndiyo utawala wa JF unaipenda na ndiyo sababu ya kulitupilia mbali 'of Great Thinkers' na kubaki JF ya Mods wanapambana na members, huku members wanapambana wenyewe kwa wenyewe na vyura wamo wanakurupuka na kuanza kutukana huku Post aliyoifungua hajaisoma! Ili mradi tu katukana, ukiandika Post ya mawazo ukitaka utawala waiboreshe Mods wanakuparula na unaweza ukapigwa na banio.
Ili mradi taflani tu.
 
Mnamuonea Lenie amewakosea nini? Ni binti mchapakazi mwenye hela zake na anayejitegemea. Hategemei kudanga ili kuendesha maisha yake. Mbona JF ya sasa imekuwa ya kitoto namna hii jamani? Mtu decent anachafuliwa tu na Moderator wapo tu wanaangalia. This is cyberbullying, and it has to stop. JF iwe salama kwa wote. Inahuzunisha sana!
Tushike lipi sasa kila mtu anasema lake.
 
Sasa hivi JF imebaki kuwa na mahoka na kero za watoto wadogo tu.

Unakuta katoto kamoja kana ID mpaka saba na zote zinaanzisha nyuzi za kijinga na kujijibu.

JF imepoteza hadhi yake.
JF ya sasa ni bora kuliko hiyo ya kale iliyokuwa imehodhiwa na wachache walioonekana ndio nguli. JF ya sasa ni jumuishi na watu wenye critical thinking ya hali ya juu.
 
Mnamuonea Lenie amewakosea nini? Ni binti mchapakazi mwenye hela zake na anayejitegemea. Hategemei kudanga ili kuendesha maisha yake. Mbona JF ya sasa imekuwa ya kitoto namna hii jamani? Mtu decent anachafuliwa tu na Moderator wapo tu wanaangalia. This is cyberbullying, and it has to stop. JF iwe salama kwa wote. Inahuzunisha sana!

Nyege izo
 
Back
Top Bottom