Genesis 4
11. Basi sasa, umelaaniwa wewe katika ardhi, iliyofumbua kinywa chake ipokee damu ya ndugu yako kwa mkono wako;
12. utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na kikao duniani.
Unajiabisha brother, umeleta mafungu yanayokuumbua, hapa mungu kabisa anasema anamlaaniwa mtu na sio ardhi.
Haya Unadhani sijui Scriptures 😅 😅 😅
Mwanzo 3:17
[17]Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nalikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako.
And unto Adam he said, Because thou hast hearkened unto the voice of thy wife, and hast eaten of the tree, of which I commanded thee, saying, Thou shalt not eat of it: cursed is the ground for thy sake; in sorrow shalt thou eat of it all the days of thy life.
Adam aliambiwa akila matunda ya mti wa katikati atakufa, lakini biblia inatuambia aliishi zaidi ya miaka 900 (mwanzo 5:5)
Brother Adam hakufa??
Mungu alimwambia "Hakika utakufa" na Adam alikufa hata kama aliishi miaka 900 mwisho wa siku ahadi ya mungu ilitimia.
Mwanzo 2:17
[17]walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
But of the tree of the knowledge of good and evil, thou shalt not eat of it: for in the day that thou eatest thereof thou shalt surely die.
Mungu aliposema "Hakika mtakufa" hakumaanisha Adam atakufa papohapo atakapo tenda dhambi, alimaanisha hamta ishi milele, kifo kitakuwa part ya maisha yenu. Je hii haikutimia? Adam aliishi milele??
Mungu alimuumba binadamu kuishi milele, dhambi ndo imetuletea mauti, Adam alipotenda dhambi ilibidi afe, but mungu mwingi wa huruma alikuwa tayar ameshaweka mpango wa kumkomboa Adam, na mpango wenyew ni kafara, "Hakuna Ondolea la dhambi bila damu kumwagika", baada Adam kuanguka dhambini, dhabihu za kafara adam alizokuwa akimtolea mungu ndizo zilizokuwa zinamfanya aendelee kuishi[mwanzo 3;21] maana yake nn? Maana yake yule kondoo dume asiye na ulemavu alikuwa akifa badala ya Adam, huyo kondoo wote tunajua kwamba alikuwa anam-represent
yesu, mwana-kondoo aliyechinjwa tangu tangu kuwekwa misingi ya dunia.
Ufunuo wa Yohana 13:8
[8]Na watu wote wakaao juu ya nchi watamsujudu, kila ambaye jina lake halikuandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana-Kondoo, aliyechinjwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
And all that dwell upon the earth shall worship him, whose names are not written in the book of life of the Lamb slain from the foundation of the world.
Mungu si kigeugeu, akisamehe anasamehe jumla. Unaposema ni “huruma tuu unamaanisha nini?”
Hili swali lako lieke vizur brother, unaamaanisha mungu hana huruma? Asingekuwa na huruma si angefutilia mbali dunia yote baada ya Adam kuanguka dhambini na kuumba dunia nyingine mpya?
Ukisoma utaona hizi personalities tatu i.e Wafalme, Manabii na Makuhani walikuwa responsible kwa Mungu pekee na ndio waliokuwa wanasimamia uendeshaji wa mashauri yote. Ni utaratibu huu umerithiwa hata leo majaji wanakuwa na immunity ya kutoshitakiwa.
Kwaio unamaanisha Kings, Prophets and Patriarchs had immunity from god 😅 😅
God treats all people equally and the punishment is equal for all people, who is not biased.
Una ushahidi wa maandiko kwamba shetani alikuwa na chance ya kuomba msamaha au again ni hisia zako tu?
Romans 3;23-24
Kila kiumbe mungu alichoumba kinaweza kuomba msamaha na kusamehewa, ni haki kila kiumbe, hata lucifer mshtaki wetu had that opportunity and wasted it, this is very simple to understand, sidhani hata kama inahitaji hata bible verse.
Dhabihu zilizokuwa zikitolewa kwenye sheria ya Musa ilikuwa ni za upatanisho (atornment), again from hebrew bible atotnment means just covering, meaning that sins are still there, wakati wakisubiri ujio wa Kristo ambaye baada ya ujio wake biblia inasema ni remission (complete take away) once and for all (romans 3:25 Romans 3
25. Whom God hath set forth to be a propitiation through faith in his blood, to declare his righteousness for the remission of sins that are past, through the forbearance of God.
Umenena vyema.