Mambo ya kuzingatia kijana wa kiume unapojihusisha na mahusiano ya kimapenzi

Anatakiwa apitwe na wanaume wangap kabla hajafika kwa mlaji?
 
Nilifurahi sana baada ya kuona uzi huu, kwani ni juzi tu niliambiwa inawezekana nina tatizo la NARCISSISTIC PERSONALITY DISORDER (NPD).
Na hii ilikuja baada ya kutegua kila aina ya ramani zake za kishamba alizokuwa akizichora ili nijae nimuoe. Kweli ningemuoa ila kwa kufuata miongozo na taratibu zangu na sio vinginevyo.

Hawa viumbe ukiwatreat vile inatakiwa watakuita kila aina ya majina.
UBARIKIWE SANA MKUU.
 
Hicho kipawa kipo kwa wanawake baadhi tu? ,na wengine kukikwepa na kuingia kwenye ndoa na bikra zao?. Jamaa mbn kakufahamisha vizuri sana lkn!!!
 
Yani analaumu wengine kwa makosa yake mwenyewe
 
Kijana umejipinda sana vp wamejeruhi nn ndg yangu maana hao waja hawaishi matukio
Nb.nikipata manz nachapa sana mbususu sikuachi mpk utetetemke bata wa head hao
 
Hii changamoto sana..30yrs wajuaji sana na hawataki kusikia jambo jipya masikioni mwao, to keep up with them ujikatae sana..they are different breed
Mwanamke ana test ya Kila type ya mibolo fc do you think una kipi kipya Cha kumwambia then akakuelewa !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…