hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Anatakiwa apitwe na wanaume wangap kabla hajafika kwa mlaji?Tatizo mnaoa wake za watu. Mwanamke alipita kwa rundo la wanaume amefundishwa tabia mbaya amekubuhu. Hata hawezi kufundishika tena. Mwanamke ni kama mtoto mdogo ndio maana anaitwa Baby anafundishika na kuishi hivyo unavyotaka hata kama wewe ni maskini. Tafuteni wake zenu mwanze kuwafundisha vile mnavyotaka wawe ndivyo watakavyokuwa. Lakini sio kuchukua mke wa mtu.