Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

📌📌📌📌📌
 
Mweee nilichogundua humu watu wana roho ya ubinafsi tuu
 
Ndio maana Mimi Kwa NDUGU SIENDIIII NG'OOOOOO

#YNWA
Nimewahi kaa kwa ndugu kama mwezi mmoja hivi aise sitorudia tena ..
Na hapo nilikaa maana nilikuja kufanya interview kwenye shirika ambalo wao ndio wameniunganisha,aiseee sitokuja kurudia
 
.......na ikitokea chakula kimetengwa kwenye hotpots na ukapewa nafasi ya kwanza kujisevia basi consider kwamba mko wengi .......jikadirie kidogo sio unachota nyama zote hadi watoto wa mwenyeji wanakosa wanaanza kumegana......mkimaliza kula basi anza hata kuwanawisha mikono wenyeji waliomaliza kula, yaani usijikute we ndo mgeeeeeeni, kila kitu ufanyiwe.....hawatakumiss ukiondoka......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…