Mambo ya kuzingatia ukifikia nyumbani kwa mtu

Sasa jamani Kama alikosa pesa ya kulala lodge Tena aje afanye donation khaa, kaja kulala kwenu ili akwepe gharama ninyi mnataka donation.
 
ma
Daah hao sasa ndo wanajiaribia wenyewe. Kingine kuna mambo hapo ukifanya kuna watu wataona kama una ubinafsi hivi au kujitenga.
maisha yamebadilika sana na hasa mjini.
kipindi cha nyuma maisha yalikuwa na nafuu mjini lakini sio kwa sasa kwa kuwa mjini hakuna tena cha bure tukiona aibu katika ukweli hatuwezi kusogea na hao tunaofikiri tunawasaidia tunazidi kujenga taifa tegemezi lenye vilema wasio waremavu!
 
mstari wa mwisho nlisema YANGA anapiga mtu 2 bila, mmeona matokeo.
 
Kwa masharti yote hayo hilo ni gereza tosha,

Fikia Hotelini,ndugu unaenda tu kumsalimia mara moja kisha una sepa zako,acha kuishi maisha ya mateso au kumnyenyekea Mtu,

Life is very short,

Enjoy it.
I conquer with you.
But point hapa ni kutafuta hela na ziwe za kutosha🖐️
 
Kwangu Kuna mgeni mwezi unaenda
amekuja na zawadi?
Anashinda na remote?
kama amekuja na mfuko wa sukari no problem.
Pia asubuhi siku za ju amosi na jumapili anunue sausage na mayai kienyeji si kuacha watoto wanakula viporo mwaka mzima.
 
Ishu uende ugenini ukutane na vitoto vya wenyeji vikorofi hasa vya mijini
 
Bado unaenda kwa watu katika umri huo? Ila hiyo namba 5 nayo imekaa kikuda sana' hilo bro nalo ni popoma tu, linawekaje mjadala mbele ya mgeni? Duh, sijui mara yangu ya mwisho kwenda kwa ndugu na kulala hapo ni lini aisee!
 
Safi sana
 
Ushawahi kwenda Ugenini ukalazwa chumba alafu kitanda kina Kunguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie acheni tu kusema huweziii...kuondoka ghafla ndo kinachofata
 
Ndo maana sipendi kwenda kwa watu..imagine mtu nna allergy ya almost every common food afu ukute mtu amepika iyo na inabidi nile kilichokuwepo [emoji23][emoji23][emoji23]nikifa woi,
 
Ushawahi kwenda Ugenini ukalazwa chumba alafu kitanda kina Kunguni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nyie acheni tu kusema huweziii...kuondoka ghafla ndo kinachofata



Hiyo ni mojawapo ya “Mwanaukome“ [emoji108][emoji3]

Kuna watu wana choyo mpaka basi!

Maandiko Matakatifu yameagiza tuwe wakarimu kwa wageni ili yamkini tuweze kukaribisha Malaika wa Mwenyezi Mungu.

Lakini sababu ya ugumu wa mioyo ya watu hawajali wala nini!
 
Nimewahi kaa kwa ndugu kama mwezi mmoja hivi aise sitorudia tena ..
Na hapo nilikaa maana nilikuja kufanya interview kwenye shirika ambalo wao ndio wameniunganisha,aiseee sitokuja kurudia
Ilikuaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…