mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,627
- 2,473
ukute huna kitu halafu manzi kakutoa mkuu... husikii aibu umekabidhiwa billi alafu jembe unaiforwad kwan manzi pembeni hapo??.Ukipanda na demu kwenye daladala konda lazima akuangalie wewe ukifika muda wa nauli hata kama wewe ndo umekaa siti ya dirishani.
Ukiwa na baby mahali mnajidai, bill lazima uletewe mwanaume hata kama yeye ndo kakutoa.
Shikamoo ni salamu ya ajabu sana, ila kuna kizazi fulani kukiondoka shikamo haitakuwa dili sana.Nawapenda sana Wazanzibari hapa kwenye salamu, ni Asalama Leku tu mwanzo mwisho.
Unakuta dogo wa miaka kama 8 anapita kuna wazee anawapa Asalama Leku nao wanaitikia safi bila kinyongo.
Sasa wazee wa kiswahili wa huku kwetu ndo kwao shikamoo ni bonge la dili.
Hamna kitu kilikua kinatesa kama ratiba ya kulala, unaweza mchukia mzazi kwa kukuforce kulala wakati wewe unataka ukacheze na wenzako njeππyeah kwa sisi genereta ilkua inawashwa saa 2 asubuh hadi saa 8. baada ya hapo mnakula mnalala then madrasa!... tulikua na bonge la tv lenye chogo la HITACHI.. noma sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajikuta kama uondoke ukaanzishe maisha ya kujitegemea mbali na nyumbani kabisa ili uwe huru.Hamna kitu kilikua kinatesa kama ratiba ya kulala, unaweza mchukia mzazi kwa kukuforce kulala wakati wewe unataka ukacheze na wenzako njeππ
πππ acha kabisaUnajikuta kama uondoke ukaanzishe maisha ya kujitegemea mbali na nyumbani kabisa ili uwe huru.
πππππ
πππ Ila hawa mama n'tilie wanachotufanyia sio poa kabisa nyama mbili alafu saiz ya mishikaki.Nyama zenyewe mbili..ukisaga si spoon mbili tu zimeisha [emoji23][emoji23] .zamani lazma umalize ugali ndo uachiwe nyama la sivyo hutomaliza ugali
Embu acha huu ujinga we mzee nyama mpaka mwisho ndio nini sasa πππ anatokea mroho mmoja anachukua unabaki unalia tu.Hii tabia hadi leo ninayo mkuu wangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe mpishi mzuri unakula kwa mama n'tilie[emoji23][emoji23][emoji23] Ila hawa mama n'tilie wanachotufanyia sio poa kabisa nyama mbili alafu saiz ya mishikaki.
Si ndo hapo. Kuabishana tuukute huna kitu halafu manzi kakutoa mkuu... husikii aibu umekabidhiwa billi alafu jembe unaiforwad kwan manzi pembeni hapo??.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]yalikuwepo kwetu hayo mazoeaKuna lile kochi linakuaga spesho kwa ajili ya baba, akiwepo hakalii lingne tofauti.
Hata ukiwa umekalia, ukimskia tu anarud bas automatically unajikuta ushanyanyuka umehamia kochi lingine
Namba2,4 na 5..kwangu zimegeuka Aisee1.wanaume atafua nguo zote ila za mwisho ni jeans
2.maji ya mwisho iuigea kufulia chupi (wanawake)
3.Asbuhi lazma unye kwanza ndo uoge
4.kupiga mswaki asbuhi tu.
5.ukiosha vyombo za mwisho sfuria
Sent using [Samsung galaxy s10]
Kuna muda mwengine mambo mengi unazidiwa unalazimika tu π ila we kwenye nyama nakujua upo vizuri za mama n'tilie hazita kutosha zile πππ
Ndio huwa inatokea mara moja unakulaKuna muda mwengine mambo mengi unazidiwa unalazimika tu [emoji17] ila we kwenye nyama nakujua upo vizuri za mama n'tilie hazita kutosha zile [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Labda asema mtu mwengine lakini sio ww ustaafu [emoji23] impossible.Ndio huwa inatokea mara moja unakula
Hahahaha nataka nistaafu maana zina athari ujue ..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] Labda asema mtu mwengine lakini sio ww ustaafu [emoji23] impossible.
Sema ww tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kale katabia nyama inaliwa mwisho kabisa.