Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Mambo ya mazoea ambayo yakageuka kuwa kama sheria

Ukipanda na demu kwenye daladala konda lazima akuangalie wewe ukifika muda wa nauli hata kama wewe ndo umekaa siti ya dirishani.

Ukiwa na baby mahali mnajidai, bill lazima uletewe mwanaume hata kama yeye ndo kakutoa.
ukute huna kitu halafu manzi kakutoa mkuu... husikii aibu umekabidhiwa billi alafu jembe unaiforwad kwan manzi pembeni hapo??.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawapenda sana Wazanzibari hapa kwenye salamu, ni Asalama Leku tu mwanzo mwisho.

Unakuta dogo wa miaka kama 8 anapita kuna wazee anawapa Asalama Leku nao wanaitikia safi bila kinyongo.

Sasa wazee wa kiswahili wa huku kwetu ndo kwao shikamoo ni bonge la dili.
Shikamoo ni salamu ya ajabu sana, ila kuna kizazi fulani kukiondoka shikamo haitakuwa dili sana.
 
yeah kwa sisi genereta ilkua inawashwa saa 2 asubuh hadi saa 8. baada ya hapo mnakula mnalala then madrasa!... tulikua na bonge la tv lenye chogo la HITACHI.. noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu kilikua kinatesa kama ratiba ya kulala, unaweza mchukia mzazi kwa kukuforce kulala wakati wewe unataka ukacheze na wenzako nje😂😂
 
1.wanaume atafua nguo zote ila za mwisho ni jeans
2.maji ya mwisho iuigea kufulia chupi (wanawake)
3.Asbuhi lazma unye kwanza ndo uoge
4.kupiga mswaki asbuhi tu.
5.ukiosha vyombo za mwisho sfuria

Sent using [Samsung galaxy s10]
Namba2,4 na 5..kwangu zimegeuka Aisee



Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuoga asubuhi au jioni hata kama upo tu,kufua jumamosi,mgeni akija unamnunulia soda badala umpe kilichopo,kula Milo mitatu kwa familia za kawaida
 
Back
Top Bottom