Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
-
- #321
Good sana hii mkuu..Ukotoboa kimaisha wakumbuke waliokushika mkono kufika hapo ulipo wasaidie nao pia wavuke ikiwezekana wasaidie wakiwa huko huko makwao kuepusha makwazo ya hapa na pale
Nimekaribia. Asante"Mkuu Alex, karibu sana rafiki yangu. Jiskie upo nyumbani"
Mkuu, unajua kwanini nimeandika hiyo comment number 318??Nimekaribia. Asante
Nina D 2 tu Kiongozi wangu, nielewesheMkuu, unajua kwanini nimeandika hiyo comment number 318??
Unamwambia mtu "Ukienda kwa rafiki, usiweke miguu juu kochi au meza" wakati akifika ugenini rafiki yake anamwambia "Karibu sana mkuu. Jiskie upo nyumbani " na yeye nyumbani kwake alishazoea kuweka miguu juu ya meza na viti..Nina D 2 tu Kiongozi wangu, nieleweshe
ANOTHER ONE: Ukiona mwana (rafiki yako) anataka kuoa mwanamke ambaye aliwahi kuwa demu wako zamani, basi mchane mwana. Mwambie mwana, "unajua hiyo pisi ilikuwaga Ngoma yangu kitambo sema baadae tukashindwana.Nina D 2 tu Kiongozi wangu, nieleweshe
ANOTHER ONE: Sio vema kumlazimisha mtu kuachana na dini A kisha ahamie dini B. Hapana.Nashukuru kwa kutukumbusha
Now, what's the solution?? How're we supposed to go about this??..Kuishi na binadamu ni kazi sana siku hizi.
Mkuu mimi huwa napenda sana salamu ya shikamoo tena huwa nalazimisha hasa hsa kwa hawa watoto wa 2000 maana usipokuwa na utaratibu huo wanaweza kukuwazia ujinga na mimi sitaki sasaANOTHER ONE: Ukikutana na mtoto wa jirani au mtoto yoyote yule kisha mnapishana bila yeye kukupa salamu au shikamoo, kamwe usimwambie "Wee mtoto mbona hauniamkii?? Wewe hauna adabu. Nitakusemelea kwa mama yako"
Hapana. Never do that bro. Salamu ya dhati hutoka ndani ya moyo na sio ya kumlazimisha na kutishana kumsemelea.
Mkuu Mshana Jr mtoto wa jirani yako asipokusalimia huwa unachukua hatua gani??
Poor Brain
Mkuu, mtoto (mfano wa kike wa form three) anaweza kukuwazia ujinga kabla ya wewe kumuanza (mfano: Kumkonyeza)??..Mkuu mimi huwa napenda sana salamu ya shikamoo tena huwa nalazimisha hasa hsa kwa hawa watoto wa 2000 maana usipokuwa na utaratibu huo wanaweza kukuwazia ujinga na mimi sitaki sasa