Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Nina D 2 tu Kiongozi wangu, nieleweshe
ANOTHER ONE: Ukiona mwana (rafiki yako) anataka kuoa mwanamke ambaye aliwahi kuwa demu wako zamani, basi mchane mwana. Mwambie mwana, "unajua hiyo pisi ilikuwaga Ngoma yangu kitambo sema baadae tukashindwana.

Sasa hapo akitaka kuoa au kuachana naye, hiyo ni juu yake.
 
Nashukuru kwa kutukumbusha
ANOTHER ONE: Sio vema kumlazimisha mtu kuachana na dini A kisha ahamie dini B. Hapana.

Sibiri mpaka mtu mwenyewe kwa utashi wake aje akwambie ya kuwa "Alex, ninataka kutoka Uislam kisha nihamie katika Ukristo" hapo mpe ushirikiano wote utakaohitajika.

Lakini kitendo cha kumfuata mtu kisha umwambie aachane na Uislam kisha aje Ukristo, hapo unakuwa unamkosea sana kwa maana itaanza kuonekana kama vile unamwambia upo katika dini isiyo sahihi na sasa hamia katika dini sahihi, jambo ambalo linaweza kuonekana kama umeitukana hiyo dini yake ya sasa..
 
ANOTHER: Mlinzi wa kampuni binafsi au Mgambo akikuomba hela ya maji mpe tu kwa moyo mmoja. Usimcheke wala kumtangaza vibaya. Mgambo hana mshahara na walinzi mishahara yao ni midogo sana.
 
Mtu yeyote (rafiki yako) akikutafutia kazi sehemu;

(1) Usimuaibishe.

(2) Kamwe usije ukamzunguka na kumuongelea vibaya kwa boss wenu mkuu ili yeye afukuzwe alafu wewe ubakie.

NEVER EVER DO THAT MY DEAR BROTHER/SISTER.
 
ANOTHER ONE: Ukikutana na mtoto wa jirani au mtoto yoyote yule kisha mnapishana bila yeye kukupa salamu au shikamoo, kamwe usimwambie "Wee mtoto mbona hauniamkii?? Wewe hauna adabu. Nitakusemelea kwa mama yako"

Hapana. Never do that bro. Salamu ya dhati hutoka ndani ya moyo na sio ya kumlazimisha na kutishana kumsemelea.

Mkuu Mshana Jr mtoto wa jirani yako asipokusalimia huwa unachukua hatua gani??

Poor Brain
 
ANOTHER ONE: Kamwe usimuibie boss wako. Kama unaona mshahara pamoja na bonuses zingine hazitoshi, please acha kazi kisha uende ukatafute kwingine kwenye maslahi mazuri zaidi ya hapo ofisini kwenu.

KUMUIBIA BOSS WAKO NI KUJITAFUTIA LAANA KATIKA MAISHA.
 
ANOTHER ONE: Ukikutana na mtoto wa jirani au mtoto yoyote yule kisha mnapishana bila yeye kukupa salamu au shikamoo, kamwe usimwambie "Wee mtoto mbona hauniamkii?? Wewe hauna adabu. Nitakusemelea kwa mama yako"

Hapana. Never do that bro. Salamu ya dhati hutoka ndani ya moyo na sio ya kumlazimisha na kutishana kumsemelea.

Mkuu Mshana Jr mtoto wa jirani yako asipokusalimia huwa unachukua hatua gani??

Poor Brain
Mkuu mimi huwa napenda sana salamu ya shikamoo tena huwa nalazimisha hasa hsa kwa hawa watoto wa 2000 maana usipokuwa na utaratibu huo wanaweza kukuwazia ujinga na mimi sitaki sasa
 
Mkuu mimi huwa napenda sana salamu ya shikamoo tena huwa nalazimisha hasa hsa kwa hawa watoto wa 2000 maana usipokuwa na utaratibu huo wanaweza kukuwazia ujinga na mimi sitaki sasa
Mkuu, mtoto (mfano wa kike wa form three) anaweza kukuwazia ujinga kabla ya wewe kumuanza (mfano: Kumkonyeza)??..
 
Back
Top Bottom