Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Good
 
Namba 4...kwaiyo namba za mashemej zote tuzifute
 
We boya, mimi mke wa mshikaji wangu akimkosa huwa ananipigia kujua what is going on kwa mumewe.
Sisi ni marafiki, ina maana shemeji ashindwe kunipigia wakiwa na emergency let say mwana kaumwa ghafla nami niko karibu?

Aisee, namba ya mke wa jamaa yangu ninayo na huwa nawasiliana naye bila kumwambia mwana.

Mbona simple tu naweka mipaka.
 
Ipo siku tu....
 
Bro, siku hiyo ni lini?
Jamaa nafahamiana naye tangu 2014 wakiwa bado wana mahusiano yasiyo rasmi.
Wameowana 2018 mpaka leo wapo pamoja. Hiyo siku lini?
Alex Muuza Maembe yupo sahihi. Wewe endelea tu kuwasiliana na mke wa best friend wako katika simu. Kuna siku utakuja kuanzisha thread hapa..
 
Alex Muuza Maembe yupo sahihi. Wewe endelea tu kuwasiliana na mke wa best friend wako katika simu. Kuna siku utakuja kuanzisha thread hapa..
Wewe na mimi tuna mitazamo tofauti. Kila mtu aishi atakavyo.

Shida unawasiliana naye kwa lipi?
Sijawahi kufikiria hata siku moja kumtongoza. Hata siku moja.
Binafsi sijawahi kuona ananitamanisha. Na wala si mwanamke mbaya ila tu namuona kama dada yangu.
 
Ipo siku....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…