Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu. Karibu na wewe pia usema chochote ili na sisi tujifunze..Hakika huu mwaka unaenda kuisha vizuri, tukiuendea mwaka ujao na busara kama hizo. Hadi wachangiaji karibu wote wamejaa hekima na michango murwa sana. Big up.
Daah umetisha sana kaka mkubwa. Asante sana..Kama ndugu au mtu mnaye heshimiana akikuomba umkopeshe laki moja wewe mpe unachoweza labda 20k kisha mwambie sijakukopesha nimekupatia. Mikopo kwa ndugu na marafiki wa karibu haifai kwani inaweza kuua undugu au urafiki wenu.
Ukifanya hivi utakuwa unazingua sana kamanda..Ah wee tena mie nitakuwa nayachapa matako ya dada yao mbele yao na hawanifanyi lolote. Sii walikula hela zangu
Ah wee bwana nazingua vipi kwani wao wakati wanachukuwa ngombe zangu sikusema wanazinguaUkifanya hivi utakuwa unazingua sana kamanda..
Mkuu, ndugu wa mkeo ni ndugu zako pia. Do you know that??..Ah wee bwana nazingua vipi kwani wao wakati wanachukuwa ngombe zangu sikusema wanazingua
Hili nalo nenoMkuu, ndugu wa mkeo ni ndugu zako pia. Do you know that??..
Good(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.
(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.
(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au wanakula dagaa kila siku.
(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye. Kamwe usitembee na mke wa best friend yako.
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.
(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.
(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.
(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.
(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.
(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.
(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.
(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.
ANGALIZO: Mimi sio malaika. Mimi nina mapungufu yangu. Ila tujitahidi sana kutenda yaliyo mema kadri ya uwezo wetu.
ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe
======
Namba 4...kwaiyo namba za mashemej zote tuzifute(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.

Mke wa rafiki yako (best friend) unaongea naye nini katika simu??..Namba 4...kwaiyo namba za mashemej zote tuzifute
We boya, mimi mke wa mshikaji wangu akimkosa huwa ananipigia kujua what is going on kwa mumewe.(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.
(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.
(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au wanakula dagaa kila siku.
(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye. Kamwe usitembee na mke wa best friend yako.
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.
(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.
(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.
(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.
(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.
(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.
(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.
(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.
ANGALIZO: Mimi sio malaika. Mimi nina mapungufu yangu. Ila tujitahidi sana kutenda yaliyo mema kadri ya uwezo wetu.
ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe
======
Ipo siku tu....We boya, mimi mke wa mshikaji wangu akimkosa huwa ananipigia kujua what is going on kwa mumewe.
Sisi ni marafiki, ina maana shemeji ashindwe kunipigia wakiwa na emergency let say mwana kaumwa ghafla nami niko karibu?
Aisee, namba ya mke wa jamaa yangu ninayo na huwa nawasiliana naye bila kumwambia mwana.
Mbona simple tu naweka mipaka.
Bro, siku hiyo ni lini?Ipo siku tu....
Alex Muuza Maembe yupo sahihi. Wewe endelea tu kuwasiliana na mke wa best friend wako katika simu. Kuna siku utakuja kuanzisha thread hapa..Bro, siku hiyo ni lini?
Jamaa nafahamiana naye tangu 2014 wakiwa bado wana mahusiano yasiyo rasmi.
Wameowana 2018 mpaka leo wapo pamoja. Hiyo siku lini?
Wewe na mimi tuna mitazamo tofauti. Kila mtu aishi atakavyo.Alex Muuza Maembe yupo sahihi. Wewe endelea tu kuwasiliana na mke wa best friend wako katika simu. Kuna siku utakuja kuanzisha thread hapa..
Ipo siku....Wewe na mimi tuna mitazamo tofauti. Kila mtu aishi atakavyo.
Shida unawasiliana naye kwa lipi?
Sijawahi kufikiria hata siku moja kumtongoza. Hata siku moja.
Binafsi sijawahi kuona ananitamanisha. Na wala si mwanamke mbaya ila tu namuona kama dada yangu.
Poa..Wewe na mimi tuna mitazamo tofauti. Kila mtu aishi atakavyo.