Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Hii kitu mwenyewe siwezi, namba zao zimekaa tu hata mwaka unaweza pita sijawasiliana nao ila status tunaview kama kawaida
For the sake of good relationship with a best friend, staying away from his wife is the best option to go for..
 
Namba ya Shem nilikuwa nayo Tangu Chuoni na sio Kwamba huwa nampigia tu ili tupige stori.
Kwanza tuna carrier moja na mara nyingi anapiga simu either kuhusu kazi au akiwa na shida na Jamaa ananicheki.
Mmekariri kama Kasongo Tatizo
Eti "Kama Kasongo"

"Kasongo ye yeye, bomami nanga, Kasongo mbona wewo"
 
Namba ya Shem nilikuwa nayo Tangu Chuoni na sio Kwamba huwa nampigia tu ili tupige stori.
Kwanza tuna carrier moja na mara nyingi anapiga simu either kuhusu kazi au akiwa na shida na Jamaa ananicheki.
Mmekariri kama Kasongo Tatizo
Ngoja tuupe muda nafasi..
 
Ukienda kula nje ya home kwako, usiende peke yako. Watu wa karibu na majirani watakuona una mentality za uchoyo.

Mfano Ukienda kula kitimoto, mchukue hata rafiki yako mmoja au wawili. Macho yameumbwa na aibu mkuu Alex Muuza Maembe
 
Naomba maembe ya juice...


Ni hayo tu!!
 
Aliyekusaidia financially wakati umeyumba, kamwe usimsahau katika maisha yako..
 
Ukienda kufanya interview ya kazi, usibebe biblia au kitu chochote kile cha kidini ili kuwaaminisha potential employers kuwa wewe ni mtu wa Mungu sana. Utapoteana mdogo wangu..
 
Ewe dereva wa pikipiki/boda au abiria usiteme makohozi wakati chombo kikiwa kwenye mwendo maana hujui nyumba kuna nani ama unaweza kutemea mwenyewe.
 
ANOTHER ONE: Jitahidi sana usiwe na mwanamke wa ziada katika mtaa mmoja unapoishi na familia yako (mke na watoto). Kama utaamua kuwa na mwanamke wa ziada basi awe mbali na hapo mtaani kwako.

Respect your wife and children.
Na kama ndio huyo umekufa umeoza kwake mahaba niue mtoe mtaani kwako mhamishie jimbo lingine kwa usalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…