The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,880
- 4,830
Hii kitu mwenyewe siwezi, namba zao zimekaa tu hata mwaka unaweza pita sijawasiliana nao ila status tunaview kama kawaidaMke wa rafiki yako (best friend) unaongea naye nini katika simu??..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kitu mwenyewe siwezi, namba zao zimekaa tu hata mwaka unaweza pita sijawasiliana nao ila status tunaview kama kawaidaMke wa rafiki yako (best friend) unaongea naye nini katika simu??..
For the sake of good relationship with a best friend, staying away from his wife is the best option to go for..Hii kitu mwenyewe siwezi, namba zao zimekaa tu hata mwaka unaweza pita sijawasiliana nao ila status tunaview kama kawaida
Namba ya Shem nilikuwa nayo Tangu Chuoni na sio Kwamba huwa nampigia tu ili tupige stori.Mke wa rafiki yako (best friend) unaongea naye nini katika simu??..
Eti "Kama Kasongo"Namba ya Shem nilikuwa nayo Tangu Chuoni na sio Kwamba huwa nampigia tu ili tupige stori.
Kwanza tuna carrier moja na mara nyingi anapiga simu either kuhusu kazi au akiwa na shida na Jamaa ananicheki.
Mmekariri kama Kasongo Tatizo
Ngoja tuupe muda nafasi..Namba ya Shem nilikuwa nayo Tangu Chuoni na sio Kwamba huwa nampigia tu ili tupige stori.
Kwanza tuna carrier moja na mara nyingi anapiga simu either kuhusu kazi au akiwa na shida na Jamaa ananicheki.
Mmekariri kama Kasongo Tatizo
Unaondoka ofisini kiungwana..Zingatieni sana #5
Naomba maembe ya juice...(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.
(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.
(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au wanakula dagaa kila siku.
(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye. Kamwe usitembee na mke wa best friend yako.
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.
(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.
(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.
(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.
(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.
(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.
(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.
(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.
ANGALIZO: Mimi sio malaika. Mimi nina mapungufu yangu. Ila tujitahidi sana kutenda yaliyo mema kadri ya uwezo wetu.
ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe
======
Upo wapi siku hizi mkuu??..Hakika mkuu
Mkuu, alikupa??..Naomba maembe ya juice...
Ni hayo tu!!
Okay poa mkuu..Hapendi Siasa...
...Ni Hayo Tu!!
Jitaidi ukiwa unakula au unatafuna kitu mdomoni ufunge mdomo ili kuzuia sauti ya kukera kwa wengine unaokula nao utafunapo huku unafungua mdomo.
Very true..Usiongee jambo lolote bila kuwa na uhakika nalo.
Usiahidi kitu chochote usichoweza kukitimiza
Ewe dereva wa pikipiki/boda au abiria usiteme makohozi wakati chombo kikiwa kwenye mwendo maana hujui nyumba kuna nani ama unaweza kutemea mwenyewe.(1) Ukipiga mihayo (yawning), chafya au kukohoa, funika mdomo na pua kwa mikono yote miwili.
(2) Usiteme mate, kutapika, kupenga kamasi, wenzako wakiwa wanakula.
(3) Ukienda nyumbani kwa mtu, hususan rafiki, usitangaze madhaifu utakayoyaona. Mfano: Watoto wao wanashindia nguo zilizochanika au wanakula dagaa kila siku.
(4) Rafiki yako unayeheshimiana naye, usiwe na namba ya simu ya mkewe ili kuepuka kutembea naye. Kamwe usitembee na mke wa best friend yako.
(5) Ukiacha kazi ofisini, usiwatukane former employers wako kwa maana katika maisha kuna leo na kesho.
(6) Ni vema ukapakua chakula kidogo kisha ukaongeza kuliko kupakua kingi alafu ukashindwa kukimaliza.
(7) Ukienda kwenye sherehe, hata kama wewe ni ndugu za karibu, usikae sehemu za VIP bila kukaribishwa. Ni aibu sana kuambiwa uondoke kwenye seat za VIP uende kwa wageni wa kawaida.
(8) Ukigundua spouse wa rafiki yako ana uhusiano wa nje ya ndoa, mfuate na mkanye ila usimwambie mumewe/mkewe.
(9) Mtu akikusaidia mara moja, usimgeuzi kitega uchumi cha kumuomba mara kwa mara. Kumbuka yeye pia ana majukumu yake binafsi.
(10) Ukiongea kwenye simu na mtu wa mbali sio vizuri kusema "fulani (Alex) nipo naye hapa ongea naye pia. Kama huyo Alex hajakuomba kuongea na mhusika basi kaa kimya.
(11) Ukipata mshahara mwisho wa mwezi, wape kidogo mfanya usafi pamoja na mpika chai hapo ofisini kwenu. Hao ndio informers na wanajua mengi ya hapo ofisini kwenu.
(12) Usiache kwenda likizo ya mapumziko kwa kuambiwa eti "tutakufidia kwa fedha hizo siku 28 za mapumziko". Afya yako ya akili ni kitu cha msingi sana.
(13) Ukienda ugenini kisha ukaachwa peke yako sebuleni, usishike chochote kama mwenyeji wako hayupo (ameenda kunununulia soda kwa mfano). Hata kama ni gazeti umelikuta hapo, subiri akirudi ndio umuombe.
ANGALIZO: Mimi sio malaika. Mimi nina mapungufu yangu. Ila tujitahidi sana kutenda yaliyo mema kadri ya uwezo wetu.
ONGEZEA NA WEWE NDUGU YANGU......
Ni mimi,
Alex Muuza Maembe
======
Excellent..Ewe dereva wa pikipiki/boda au abiria usiteme makohozi wakati chombo kikiwa kwenye mwendo maana hujui nyumba kuna nani ama unaweza kutemea mwenyewe.
Na kama ndio huyo umekufa umeoza kwake mahaba niue mtoe mtaani kwako mhamishie jimbo lingine kwa usalama.ANOTHER ONE: Jitahidi sana usiwe na mwanamke wa ziada katika mtaa mmoja unapoishi na familia yako (mke na watoto). Kama utaamua kuwa na mwanamke wa ziada basi awe mbali na hapo mtaani kwako.
Respect your wife and children.