Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Mambo ya Msingi Sana katika maisha

Ukipokea wafanyakazi wapya hususan "fresh from college" na wewe ni mkongwe hapo ofisini, usitumie ushamba wao na uzoefu wako wa kazi na mazingira ili kuweza kuwanyanyasa.

Treat them with love and respect kama wadogo zako wapya.
 
Ukila tafuna huku umefunga mdomo.

Ukila kula kwa mkono wa kulia tu, usishike chai mkono wa kushoto na mkate kulia.

Ukisalimiana na mtu ukiwa umekaa akikupa salam na mkono simama ndo umpe mkono pia (usi-shakehand) ukiwa umekaa
Hapo pa chai,daaa
 
Usiazime gari ya mtu mwingine hata kama ni rafiki yako kama:

1: Hauna pesa ya kuifanyia service endapo ukipata ajali.

2: Kama safari sio ya maana/lazima sana.

Unakutana na mjinga mmoja kapuku hata mia nyeusi hana, eti kaazima Subaru ya mwana/rafiki ili tu aende kuuza sura kwa pisi/mademu.
 
Daaaah, kwanini mkuu wangu??
Ndugu yangu mimi sijaoa ila nilipata nafasi ya kudate na pisi ya kirangi kwa muda mrefu kimtindo, watu wa karibu waliniamsha sana kuhusu tabia zao maana wanajulikana kwa mitikasi yao ya kupenda kushenyetwa hovyo bila break na ni free Wi-Fi yani unajiperuzia masaa 24 mzigo speed ya hali ya juu unagusa tu wayaaaa.
Ubaya ni kwamba nilikuwa sisikii wala siambiliki wacha kikaja kuniramba siku moja ndiyo nikaamka usingizi aisee!! Mungu ni mwema niliwahi kuamka maana ilihali ningechelewa kidogo ingekuwa shida shindilii.
Ikiwa wewe sio wa kabila hilo ni bora utemane nao ama labda uwe unaichapa ile kimtindo yani unaiweka hakuna mahusiano yeyote.

Hallelujah!!!
 
Daah, hatari sana mkuu wangu.
 
Kweli kabisa,unatangaza mafanikio yako kumbe mwingine anakesha hajayapata,hapo Sasa.....
ANOTHER ONE: Ukienda kununua Infinix dukani, Anza kwanza kuulizia iphone au Samsung kisha m-bishane bei na muuzaji hata dakika 10 au 5 hivi kisha baadae kama unataka kuondoka kwa kushindana bei ndio umuulize "na hii Infinix ndio bei gani" hapo lazima atakutajia bei halisi na isiyoumiza.

Usipende kuonesha kwamba umeenda pale kwa sababu ya bidhaa A hapana, onesha kuwa umefuata bidhaa B, lakini A ni optional tu. Kumbe wewe lengo lako ni hiyo hiyo A.

Hahahahaaa
 
Back
Top Bottom