Alex Muuza Maembe
JF-Expert Member
- Dec 13, 2024
- 655
- 1,413
- Thread starter
- #281
Hauipendi kivipi mammy?? Yaani mtu kusema kuwa "Eva wa Chumvichumvi pia nipo naye hapa. Ongea na yeye pia kidogo umsalimie"Hiyo namba 10 siipendi
Ndio hivyo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauipendi kivipi mammy?? Yaani mtu kusema kuwa "Eva wa Chumvichumvi pia nipo naye hapa. Ongea na yeye pia kidogo umsalimie"Hiyo namba 10 siipendi
Yeah unajuaje kama nataka kuongea na huyo unaenipaHauipendi kivipi mammy?? Yaani mtu kusema kuwa "Eva wa Chumvichumvi pia nipo naye hapa. Ongea na yeye pia kidogo umsalimie"
Ndio hivyo??
Tuma ada 😹Mzazi mwenzangu. Mambo??
Kweli kabisa mama watoto wangu.Yeah unajuaje kama nataka kuongea na huyo unaenipa
Jana niliweka Maembe kwenye bus yaje huko Mkoani. I hope leo yatakifa. Utasaga juice utakunywa na watoto mke wangu.Tuma ada 😹
Kweli kabisa,unatangaza mafanikio yako kumbe mwingine anakesha hajayapata,hapo Sasa.....Usiulize sana ishu kama ,vp unaolewa lini,unaoa lini,vp una watoto wangapi maana mwingine anatafùta mtoto hapati,maswali haya yanaumiza watu kihisia
Hapo pa chai,daaaUkila tafuna huku umefunga mdomo.
Ukila kula kwa mkono wa kulia tu, usishike chai mkono wa kushoto na mkate kulia.
Ukisalimiana na mtu ukiwa umekaa akikupa salam na mkono simama ndo umpe mkono pia (usi-shakehand) ukiwa umekaa
Au unakuta mtu anasema vibaya matajiri wakiwa kwenye mkusanyiko ilhali hapo hapo kuna mmoja wao ni tajiri.Kweli kabisa,unatangaza mafanikio yako kumbe mwingine anakesha hajayapata,hapo Sasa.....
Mimi huwa ninakunywa chai na chapati/mkate kwa mkono mmoja tu wa kulia..Hapo pa chai,daaa
Hongera bossMimi huwa ninakunywa chai na chapati/mkate kwa mkono mmoja tu wa kulia..
Kawaida Sana mkuuHongera boss
Ndugu yangu mimi sijaoa ila nilipata nafasi ya kudate na pisi ya kirangi kwa muda mrefu kimtindo, watu wa karibu waliniamsha sana kuhusu tabia zao maana wanajulikana kwa mitikasi yao ya kupenda kushenyetwa hovyo bila break na ni free Wi-Fi yani unajiperuzia masaa 24 mzigo speed ya hali ya juu unagusa tu wayaaaa.Daaaah, kwanini mkuu wangu??
Daah, hatari sana mkuu wangu.Ndugu yangu mimi sijaoa ila nilipata nafasi ya kudate na pisi ya kirangi kwa muda mrefu kimtindo, watu wa karibu waliniamsha sana kuhusu tabia zao maana wanajulikana kwa mitikasi yao ya kupenda kushenyetwa hovyo bila break na ni free Wi-Fi yani unajiperuzia masaa 24 mzigo speed ya hali ya juu unagusa tu wayaaaa.
Ubaya ni kwamba nilikuwa sisikii wala siambiliki wacha kikaja kuniramba siku moja ndiyo nikaamka usingizi aisee!! Mungu ni mwema niliwahi kuamka maana ilihali ningechelewa kidogo ingekuwa shida shindilii.
Ikiwa wewe sio wa kabila hilo ni bora utemane nao ama labda uwe unaichapa ile kimtindo yani unaiweka hakuna mahusiano yeyote.
Hallelujah!!!
ANOTHER ONE: Ukienda kununua Infinix dukani, Anza kwanza kuulizia iphone au Samsung kisha m-bishane bei na muuzaji hata dakika 10 au 5 hivi kisha baadae kama unataka kuondoka kwa kushindana bei ndio umuulize "na hii Infinix ndio bei gani" hapo lazima atakutajia bei halisi na isiyoumiza.Kweli kabisa,unatangaza mafanikio yako kumbe mwingine anakesha hajayapata,hapo Sasa.....
Kama kajilengesha je na ni milf?ANOTHER ONE: Mama na Baba wa best friend yako, ni baba na mama yako pia. Usitembee na mama/baba wa best friend yako.
Huyo ni kama mama yako. Mheshimu sana mkuu.Kama kajilengesha je na ni milf?
Lakini sio mama yangu napita nae tuuHuyo ni kama mama yako. Mheshimu sana mkuu.