Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Hakuna msimamo mbele ya njaa na umaskini. Nchi inayotegemea misaada na mikopo haiwezi kuwa na msimamo. Itafanya lolote ili isinyimwe mikopo na misaada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe inaelekea hujui kabisa hata chanzo cha vita hivyo.
Na hujui kuwa Ukraine na Warusi ni ndugu wenye asili moja.
Na hujui kuwa kati ya ndugu hawa wawili, Ukraine wamerubuniwa wajiunge NATO ili wampige ndugu yake Ukraine, Mrusi.
Na hujui kwamba Urusi anampiga mdogo wake Ukraine ili kumkomoa tu na kuikomoa NATO.
SASA mtoa posti wewe ndugu yako mweupe hapo nani?
Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti.
Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika.
Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu waafrika, ni vita ya kwao Ulaya
Kiukweli tunawahurumia watu wa Ukraine kwa kuingizwa mkenge na nchi za magharibi.
Tanzania inabidi tuweke msimamo unaoeleweka, tunawahurumia watu wa Ukraine lakini vita hivyo havituhusu.
Utumwa wa kiakili, na utatawaliwa milele.Hakuna msimamo mbele ya njaa na umaskini. Nchi inayotegemea misaada na mikopo haiwezi kuwa na msimamo. Itafanya lolote ili isinyimwe mikopo na misaada.
Saddam Hussein aliposhambuliwa na kuambiwa ana silaha za maangamizi, mliufyata kama hamupo duniani.Penye mzozo wa dhulumati na mdhulumiwa kujifanya haituhusu ni ubinafsi uliopitiliza. Kwa jina sahihi zaidi, ni uzwazwa.
Watanzania wenye upeo mdogo kuona mbali, mtaangamia kwa kukosa maarifa.Umedanganywa ukadanyika kwa propaganda za kijuha.
Una uelewa finyu wa historia ya ukombozi.Uongo
Saddam Hussein aliposhambuliwa na kuambiwa ana silaha za maangamizi, mliufyata kama hamupo duniani.
Hujaelewa kabisa tofauti za hizi vita.Gulf war 1: Ilikuwa kumfurusha Saddam aliyekuwa kavamia Kuwait.
Hiyo ni kama Amin Kagera, Putin Ukraine, Marekani Afghanistan, NATO Libya nk.
Sawa sawa na kitu zima kubaka au kupiga kitoto kidogo.
Yote hiyo haikubaliki.
💪🏽👍🏽Nasimama na PUTIN ,NASIMAMA NAE DAIMA
Kijana kanywe maziwa ulale.Ukombozi gani? Tanzania lini ilipigania uhuru kwa damu? acha fix zako babu ushakuwa mtu mzima ?
Hujaelewa kabisa tifauti za hizi vita.
Na wala huwezi kuilinganisha vita ya Kagera na hii ya Ukraine.
Soma kwanza historia na ujiridhishe facts zote za vita.
Tunanyonywa kwasababu ya ujinga wetu,na kwanini tupewe bure kwani sisi vilema.Na kama alitunyonya ana uwezo wakukaa kimya asirudishe chochote na hatuna chakumfanya kwahiyo tushukuru ata hicho kidogo anachokirudisha.Unasaidiwa ama unamegewa kifungu kiduchu cha faida ya rasilimali zako wanazokunyonya?!
Mzungu hajawahi kutoa msaada bure tambua.
Hali si hali. Hata kibaraka wa marekani kwa miaka mingi saudia this time kamgomea.Utumwa wa kiakili, na utatawaliwa milele.
Una mifano ya msaada huo?Mrusi anatusaidia nini kwenye sekta za Afya, Elimu, Kilimo, Ustawi wa jamii au hata Technologia?
We go with someone who cares about Africa..at least.
.
Nenda ubalozi wa Ukraine ukaombe kujiunga na Azov battalion hii Dunia inaenda inabadilika kujipendekeza moja Kwa moja upande Fulani kutawacost wajukuu, Kuna mataifa yalikuwa na nguvu sasa hayana tenaUvamizi wa Rusia nchini Ukraine hauna tofauti na uvamizi wa Nduli Iddi Amin kule Kagera mwaka 1978
Huyo anaekusaidia ni kwakuwa anajua asipokusaidia utasaidiwa na mwingine akishabaki peke yake hatokusaidia tenaUna mifano ya msaada huo?
Unataka tufe njaa na umaskini? Au we mwenzetu una uraia wa Urusi kwa hiyo una pakukimbilia?Utumwa wa kiakili, na utatawaliwa milele.
Mkuu soma hii topic hapa chini then uje tujadili kupitia reply yako.Wewe inaelekea hujui kabisa hata chanzo cha vita hivyo.
Na hujui kuwa Ukraine na Warusi ni ndugu wenye asili moja.
Na hujui kuwa kati ya ndugu hawa wawili, Ukraine wamerubuniwa wajiunge NATO ili wampige ndugu yake Ukraine, Mrusi.
Na hujui kwamba Urusi anampiga mdogo wake Ukraine ili kumkomoa tu na kuikomoa NATO.
SASA mtoa posti wewe ndugu yako mweupe hapo nani?