Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
Inasikitisha watanzania huu mtandaoni mna uelewa mdogo sana and you easily fall prey kwa prooaganda za CNN.Uvamizi ni uvamizi tu.
Saddam hakuwa na uhalali kuvamia Kuwait. Israel Gaza. NATO Libya, Marekani Afghanistan, Russia Ukraine nk.
Si Amini si wabakaji wote waovu.
Kura UN zinaakisi wengi walipo - wape!
Baada ya break up ya USSR nchi kubwa ambamo Ukraine ilikuwemo, nchi za Ulaya kupitia NATO walikubaliana kuwa kibiashara nchi zote ziko huru kujiunga na EU. Lakini baada ya makubaliano hayo NATO iliendelea kuwarubuni wana familia wa USSR,Poland,Lithuania na nyinginezo kujiunga NATO.
Ukraine nao wakaahidiwa kujiunga NATO, na Ukraine walianza mchakato huo.
NATO kimsingi iliundwa kuipiga Urusi ambayo sasa ikaona inazungukwa na maadui.
Urusi wakaionya Ukraine-ukijiunga na adui zangu basi nawe ni adui.
Ukraine ikakataa na kukaidi.
Urusi ikaona heri nianze na adui aliye mlangoni.
Ikaivamia Ukraine kwanza kuikomoa na pili kuwaambia NATO, namtandika huyu ndugu aliyenikana na nione atakayesema fyoko.
Sasa ulinganishi hapa na Kagera haupo au mtu huelaewi kabisa hii East-West conflict.