Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

Mambo ya Udhamini wa NBC na TFF nawaachieni nyie Mimi naomba tu kujua je, Boss wa NBC ni Simba au Yanga?

Nahisi ni simba maana miaka ya nyuma NBC Bank alikuwa Mdhamini wa Simba
 
Unaambiwaje.. Hao NBC na Simba mnyama mkali ni mtu na ndugu yake kwanza wote wametokea porini wanyama huku twiga kule simba chura yeye katokea mtaroni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

JamiiForums1662966003.jpg
 
Inasemekana huyo boss alikuwepo kwenye hiki kikundi, wanaomjua tusaidiane kutambua uwepo wake🐒
images (1) (11).jpeg
 
Back
Top Bottom