MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Ninasubiri majibu yenu ili nitiririke sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makolo tumekwisha.Ni Yanga lialia
Tiririka sasaMakolo tumekwisha.
Uko sahihi nimeambiwa ni Simba SC mno.Nahisi ni simba maana miaka ya nyuma NBC Bank alikuwa Mdhamini wa Simba
Kwakuwa ni Simba SC Mwenzangu ( Mwenzetu ) sitiririki tena sana sana nimefurahi sana.Tiririka sasa
Ndio maana wwnzio wanataka wakuvishe dela na kikuku. Kwasababu ya umbea. Hapo ulitaka kutunga uongo na uzushi lakini kusikia kuwa ni Simba mwenzio umenywea tuli. Acha mambo ya kinafkiKwakuwa ni Simba SC Mwenzangu ( Mwenzetu ) sitiririki tena sana sana nimefurahi sana.
Kwa hiyo miaka yote boss wa NBC ni huyo huyo tu?Nahisi ni simba maana miaka ya nyuma NBC Bank alikuwa Mdhamini wa Simba
Akili za Kimbumbumbu hizi,kwa hiyo tangu miaka hiyo almost 20 sasa imepita Mkurugenzi wa NBC ni huyo huyo na pia hiyo NBC ni Bank ya mtu mmoja?Nahisi ni simba maana miaka ya nyuma NBC Bank alikuwa Mdhamini wa Simba
Makolo muli bwanji babaaMakolo tumekwisha.
Acha ufala jibu linajitosheleza nimeanza kwa kusema nahisi.Akili za Kimbumbumbu hizi,kwa hiyo tangu miaka hiyo almost 20 sasa imepita Mkurugenzi wa NBC ni huyo huyo na pia hiyo NBC ni Bank ya mtu mmoja?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kuhisi yaache chumbani na kimada wako.Acha ufala jibu linajitosheleza nimeanza kwa kusema nahisi.
[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867]