Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka

Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Mambo yanayoendelea kwenye CCM yanatia aibu taifa wenzetu wanatucheka.

Mmekataa demokrasia na haki, sasa mnategemea nini, ni mwehu pekee anaye amini kukataa demokrasia na haki alafu aje kupata haki.

Ni wakati sasa wa mabadiliko sisi wote ni watanzania kwanini tuwe vilaza kiasa hiki haya yanayoendelea kiufupi ni kwasababu hatutaki demokrasia na haki turudini kwenye demokrasia haya mambo yatakwisha.

Tusiwe kama vilaza haya mambo yameshika kasi kipindi hiki kuliko wakati wowote na yanachafua taswira na mfumo mzima wa uchaguzi wa nchi
 
Kitendo cha Tundu Lissu na Chadema kususia uchaguzi kimeokoa maisha ya watu wengi sana, nazani kila mtu anaona kinachoendelea ndani ya chaguzi za CCM, watu wengi sana mwaka huu wangepoteza maisha lakini mwamba kijitoa sadaka, na hili ni fundisho kwa wote bila katiba mpya hakuna uchaguzi wa uhuru na haki
 
Kitendo cha Tundu Lissu na Chadema kususia uchaguzi kimeokoa maisha ya watu wengi sana,nazani kila mtu anaona kinachoendelea ndani ya chaguzi za CCM,watu wengi sana mwaka huu wangepoteza maisha lakini mwamba kijitoa sadaka,na hili ni fundisho kwa wote bila katiba mpya hakuna uchaguzi wa uhuru na haki
True!
Mwenye Macho Haambiwi Tazama
Mungu anamuumbua mnafiki!
 
Yawni siku hiyo ya uchafuzi wao, watu wengi watabakia majumbani kwao wakiangalia tv na pia kujumuika na wanafamilia wao. Hakuna sababu ya kwenda kukimbizana na policcm.
 
Yaani mitaani mfamo leo CCM na ma nguo yao ya kijani wanazururaa tu hamna hata amsha amsha...

Uchaguzi dodo safari hii...

Hafi mtu safari hii...
 
Back
Top Bottom