Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
True!Kitendo cha Tundu Lissu na Chadema kususia uchaguzi kimeokoa maisha ya watu wengi sana,nazani kila mtu anaona kinachoendelea ndani ya chaguzi za CCM,watu wengi sana mwaka huu wangepoteza maisha lakini mwamba kijitoa sadaka,na hili ni fundisho kwa wote bila katiba mpya hakuna uchaguzi wa uhuru na haki
AiseeYaani mitaani mfamo leo CCM na ma nguo yao ya kijani wanazururaa tu hamna hata amsha amsha...
Uchaguzi dodo safari hii...
Hafi mtu safari hii...