MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

Tunawaunga mkono jamii ya wamasai wao ni ndugu zetu na tunalaani na kukemea madalali waliochukua kishika uchumba kwa waarabu kupitia kigenge cha wahuni serikalini.

Hii nchi ni yetu sote.
Ngorongoro ni ya wamasai na wamasai ni ngorongoro hakuna wakubadilisha.

Waliokula fedha za waarabu watazitapika na kuzicheua.
 
Armed forces have never stood chances to overwhelm the angry mass.Never!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…