MAMBO YANAZIDI KUCHANGAMKA: Wananchi wa Ngorongoro watoa ONYO kali kwa serikali

I STAND WITH MAASAI
Waachiwe waishi kwenye makazi yao, na wapate haki zao na mahitaji y’a msingi km raia wanaoishi kwenye Nchi huru na yenye democracy…
 
Changamoto kubwa ni watumishi wa Uma kuchukua maamuzi bila kushirikisha ipasavyo wananchi.
Maana halisi ya kupigania Uhuru ni tofauti na serikali inavyofanya nyakati hizi.
Ni lazima ijulikane kwamba Dola ni wananchi na vyombo vyake mali yao, serikali imepewa dhamana ya kuvisimamia kwa muda tu.
Serikali hupita lakini dola hudumu.
 
Huu ni unyama mkubwa unaofanywa na wazanzibari chini ya CCM tuwakatae kwa nguvu zetu zote.
 
Hapa hakuna habari ya uzanzibari na utanganyika, serikalini watanganyika ni wengi.
Ujinga usifichwe kwenye kichaka cha uzanzibari.
Tumeona kila mzanzibari akiwa rais mbuga zetu zinauzwa hovyo. Ilikuwa Loliondo sasa ni Ngorongoro pengine baadaye itakuwa Kilimanjaro. Ni wazanzibari wasio na uchungu na Tanganyika.
 
Hilo onyo kali ni lipo,au kusema tunatoa onyo kali tayari linakua onyo kali?
 
Serikali ya CCM kwa sasa haina mpango na wananchi wake bali inaangalia zaidi maokoto.
 
Wana Ngorongoro wanastahili kuheshimiwa utu wao kwenye ardhi yao wa asili. Sehemu aliyozaliwa binadamu mababu na mababu na wana mila na utamaduni wao kwenye sehemu husika ni kuwanyima haki kuhamisha kwa nguvu.
 
Tumeona kila mzanzibari akiwa rais mbuga zetu zinauzwa hovyo. Ilikuwa Loliondo sasa ni Ngorongoro pengine baadaye itakuwa Kilimanjaro. Ni wazanzibari wasio na uchungu na Tanganyika.
Wapo viongozi wa vijiji, kata, tarafa, mkuu wa wilaya na team yake, vivyo hivyo mkoa, waziri na team yake, waziri mkuu na makamu wa Rais.
Wote hao ni wazanzibari? au wanaswagwa tu kama wanyama?
Lawama lazima zielekezwe kwa wote hao, vinginevyo kuna fikra mfu zisizoweza kufanya badiliko lolote chanya.
Yawezekana hata Rais hushangaa na kusikitika baada ya wajanja kupita humohumo kujinufaisha.
 
Samia akisema Ngorongoro ipewe Mwarabu nani anayeipenda kazi yake anaweza kusema vinginevyo?
 
Najaribu kuwaza jamaa wanavyojua kucheza na zile fimbo zao 😂😂😂 wakiamua kuliamsha dude hao askari lazma wasemee 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…