Mamelodi Sundowns wako Overrated

Eeh Mungu baba, saidia hizi mbumbumbu zikutane kweli na wale wajukuu wa Mandela a.k.a Masandawana. Sisi tutakua mashuhuda wa janga litakalotokea!
 
Eeh Mungu baba, saidia hizi mbumbumbu zikutane kweli na wale wajukuu wa Mandela a.k.a Masandawana. Sisi tutakua mashuhuda wa janga litakalotokea!
Sio kosa lako
 
Hao Raja waliowabaka tatu kwa Mkapa, wakikutana na Masandawana wanapigwa kama watoto wadogo.

Anyway, haina haja ya kuandikia mate. Yeyote mtakaepangiwa hapo robo fainali, anatosha kuwashikisha adabu!
 
Narudia tena kusema, sio kosa lako ..
 
Takwimu zinaonesha Al ahly wameruhusu magoli 7 kwenye ligi kwenye mechi 18 na hawajapoteza mchezo, wameruhusu magoli 8 Caf champions league na kati ya hayo magoli 7 wamefungwa na Mamelodi, ajabu humu chambuzi nzala wanasema al ahly ni wabovu ili kuwa downgrade Mamelodi Sundowns. Mamelodi ni kama Barcelona tu, atayewatoa ndio bingwa.
 
Hao Raja waliowabaka tatu kwa Mkapa, wakikutana na Masandawana wanapigwa kama watoto wadogo.

Anyway, haina haja ya kuandikia mate. Yeyote mtakaepangiwa hapo robo fainali, anatosha kuwashikisha adabu!
Tell her
 
Misimu ya hivi karibuni (karibia mitano), wamekuwa wakiishia robo fainali kama Simba Sc tu, tangu achukue kombe 2016.
Ahaa nilijua walifika angalau nusu
 
Mimi ni shabiki mwenzako wa Simba, tena mm ni zaidi yako mkuu naweza kukuwekea uthibitisho hapa uone ghetto langu lilivyojaa bidhaa za msimbazi lkn mkuu kwenye ukweli tuuseme tu Mamelody hatumuwezi hata akipanga kikosi cha pili.

Hata unaposema pira biriani siku hizi halipo msimbazi limeenda kwa wenzetu Yanga, kuona ni kuamini mkuu na mpira unachezwa uwanjani kila mtu anaona, hawa mamelody kama wangekutana na watani zetu Yanga angalau kungekuwa na la kuongea lkn sio sisi, Simba hatuna timu mwaka huu zile goli saba zisituvimbishe kichwa tukajiona tupo juu mkuu, goli saba tuliwafunga vipofu wale hawana uwezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…