Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Ila mzee Mengi jamani. Ona anavyowasababishia matatizo watoto wake. Starehe million 90 du hivi huyu Jack jamani anataka kuwa tajiri mwanamke number moja Africa?
Kila mwezi ni mil 7 na nusu ,sijui watakuwa wanaenda wapi?
Mil 7 na nusu kila mwezi nifanye sharehe?[emoji3]