Mamlaka husika fanyieni utafiti haya malori aina ya FUSO

Upo sahihi mkuu,chuma ikipakia Mali kuoza lazima itembee mwendo mkubwa kusudi mzigo usiharibikie njiani na ukizingatia bodi za hizo gari hazina mifumo ya kupozesha
 
Acha kabisa ya uck wanatamba watakavyo!!! Mbaya zaid wanasinzia na kuhama upande !!!
 


Anaongelea spec za manufacturer na ni kweli Fuso kwenye spec za Manufacturer ni tani nne ila hapa bongo ndio mzigo tunapiga tani kumi
 
Mbali na Hilo super great inabeba mzigo mkubwa kuliko mende scania mizani fuso haisumbui compare to scania
Hahahaha lile body refu la kubebea magodoro ndiyo linakuchanganya?

Ukiachana na mizigo myepesi kama magodoro, plastic na mizigo mingine ya namna hiyo, ule mkia wa super great huwa hauna kazi!

mende zote (8×4/2) haijalishi ni scania, benz, volvo au faw bongo GVM ni tani 33! Hiyo super great inayobeba zaidi ya scania inabebea wapi?



Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Tusibishane

Sent from my HUAWEI CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Usi isingizie Kvant na Mirungi huenda ni matairi ya retread ambayo hayajaiva vizuri

Kuisingizia Gongo na Waragi ni chuki binafsi tu.
 

Kama ndio uzoefu huo alaf hujui kwamba fuso ni tani4 tu basi wewe mzoefu kihiyo
 
Pili Haya malori ni tani nne lakini hayo mabodi ya fuso (ambayo yamejengwa hapa Tanzania) yanabeba mpaka tani 12!!! Au zaidi !! Hii ni hatari mno!! Hasa kwenye mifumo ya break!!! Fuso nyingi huanguaka au kugonga sababu ni ujazo mkubwa unaosababisha break kufeil !!
Hapo umenena.
 
Hakuna gari inabeba mzigo uliozidi kiwango Kwa Mujibu wa sheria zetu za Nchi!!
 
Acha upuuzi unataka kutuambia Wajapani waliotengeneza hii gari hawakufanya research, mje mtake kufanya nyie Mapopoma ambao hamjawahi hata kutengeneza baiskeli ya kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…