Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

Hao wanawake wa kwenye mabar na clubs ndio hao hao ambao angeweza kukutana nao hata makanisani na masokoni, hivyo basi bado sampling yake iko accurate kufanya interpretation na conclusion sahihi..
Pili hayo maneno akiyasema mtanzania kwenda kwa mtanzania mwenzake sio habari ila kuyasema mzungu kwenda kwa Watanzania ndio habari ilipo
Yangesemwa na mtanzania hasa mwanaume isingekuwa habari ndio kwa sababu huyo mwanaume angeishia tu kukejeriwa na kuambiwa atafute pesa tena na hao hao wadangaji.. maneno hayo kusemwa na mzungu ni jambo zuri sana maana yana uzito na pengine madada wa kibongo watashikwa na aibu na hatimae wataondokana na mindset ya kidangaji na kugundua kwamba mahusiano sio njia ya kuikimbia umskini, bali umaskini unakimbiwa kwa juhudi na maarifa katika kazi.
Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?
Kwa hiyo angesema hayo kama tabia za wanawake wa kiafrika kwa ujumla ndio usingeumia ila umeumia alivyoitaja tanzania specifically sio? Watu kama wewe hata shuleni mkifeli darasa zima unaona ni sherehe ila ukifeli peke yako ndio kilio, such an obnoxious loser's mindset.
Nne hamuoni kama anawaogopesha wageni wenye matarajio ya kupata wenza wa maisha Tanzania kwa huo mjumuisho wake wa hao wanawake wadangaji na wanaume machawa anaokutana nao?
Anawaogopesha kivipi? Kwa kuwasanua wazungu wenzake kuhusu kasumba za wanawake wa kitanzania au? Na kwa taarifa yako alichokifanya huyu mzungu kwenye hii video ndio amewasaidia sasa.. maana mzungu yeyote ambaye ana mpango wa kuja kutafuta mwanamke hapa Tanzania, baada ya kuangalia video hiyo atakuja huku amejiandaa kisaikolojia kabisa kwamba anakutana na wanawake wa aina gani, hivyo atakuja anajua kabisa itabidi awe tayari kusaidia ndugu wa mwanamke atakayeingia nae kwenye mahusiano, atakuwa tayari kubeba bills zote yeye peke yake maana pesa yake itakuwa ni ya wote na pesa ya mwanamke ni ya kwake peke yake.. na zaidi ya yote atakuwa tayari kuishi na mwanamke ambaye hana cha kuoffer kingine zaidi ya uchi alionao.

Kwa ufupi tu hii video imewasaidia sio tu wazungu wenzake bali hata madada wa kibongo kwenye suala zima la hook up/dating tofauti na unavyofikiri.
 
Na mwanamke wa kibongo akipata bwana wa kizungu huwa anaona kama ameshinda jackpot bingo... kwanza hata dharau kwa kaka zake wa kibongo zinaongezeka, yaani anaanza kujiona yuko daraja lingine kabisa, pamoja na kuvisualize kwamba na yeye anatembea mitaa ya New York au Paris akiwa amekumbatiwa na huyo mzungu wake...😇

Wanakuwaga na matarajio ya ghafla ya kipuuzi sana, halafu mwisho wa siku wanaishia kuharibiwa maisha yao kwa kufanyishwa group sex na wanyama.

Na wazungu hata huwa hawapati shida kwenye kuwatongoza hawa dada zetu, yaani akishasema tu "hello beautiful lady may i have few minutes to talk to you" tayari chupi ya mdada wa kibongo inalowana muda huo huo... na hapo unakuta mzungu mwenyewe ni choka mbaya tu huko kwao.
 
  1. South Afrika
  2. Kenya
  3. Nigeria
Hizi nchi ukiongea chochote negative kuhusu nchi yao, be it ni kweli au si kweli utajuta.

Sisi ujamaa ulituathiri. Tuvumilie tu
Hizo nchi ulizotaja raia wake ni watu wa ovyo sana na yaani ni watu wa ajabu ajabu mno hata wazungu wenyewe wanawajua, ndio wanaongoza hata kwa kuwekeana mabifu huko mitandaoni.

Kwanza hata wao wenyewe huwa wanazichukia nchi zao hasa hao wanaijeria.
 
mbona kasema ukweli.kama alio kutana nao wote wapo hivyo atasemaje kamba baadhi yao? wajirekebishe
 
Anatakiwa apongezwe kwa huo ukweli. Na haya hayaathiri utalii, labda Kama una utalii wako wa ngono
Mpaka sasa hivi najaribu kutafuta mantiki ya yeye kutahadharisha kwamba hii video inaweza kufukuza au kuathiri utalii hapa nchini sipati kabisa... au labda alikuwa anaamanisha utalii wa ngono ambapo hao sexual tourists wakiskia wadada wa huku wana magonjwa kibao ya zinaa wataacha kuja
 
Mbona kawachana ukweli Yani unakuta dada unafake maisha ili uolewe na mzungu Kuna mpangaji jirani yangu alijishobokesha sana Kwa mzungu mpaka akifirwa na kurekodiwa kumbe mzungu mwenyewe Koko Hana maisha
Inasikitisha siyo watanzania tu bali wanawake wote wa kiafrika wakiona Mzungu wanadhani wote maisha yao mazuri kumbe wengi wao life strugglers tu wakutwa huku mtoni ndo wanajua hali halisi na kutokomea kujitegemea.
 
MIAKA IJAYO NA SIO MINGI, ITAKUWA NI HATARI KUDATE MDADA WA KITANZANIA.

nimepayuka kwa herufi kubwa, soma kwa kupayuka
 
Juzi tu nmetoka kutongoza mrembo insta.

Hata hatujaonana keshokutwa yake ananiomba laki moja eti akahemee ndani ameishiwa kila kitu.

Hivi nyinyi wanawake mbona majinga sana?
Insta??? Wewe ni jasiri kama BLACK MAMBA
 
mimi mwenyewe imenitokea,nimemtongoza mdada,ata haijaisha nusu saa ananiambia"naomba uniongezee elf 50 niongezee kodi ya nyumba"nilisimama na kuondoka
Mkuu unampa tu kama unayo. Mimi natoaga tu. Mmoja alinionaga Facebook akaanza mbali mimi nikamsubiria hadi anaomba. Akaniomba laki nikampa laki mbili hiyo ni baada tumevideo chat/call.

Kwa msichana akiniomba hela haizidi laki nampa tu. Ila dume maamaee kama nyau de adriz eti liniombe hela nalichinjia baharini huko. Yani unahustle halafu unakabidhi jasho lako kwa dume lingine maamaee nyangwisi Maarasmitayo
 
Wazungu wa kweli waliisha mwaka 2010, sasa hivi kila mtu tapeli
Hayana lolote hayo mazungu. Tatizo yakija Africa yanapapatikiwa na dada zetu. Yani yamechoka balaa. Ikitokea wamemleta demu kutoka bongo ulaya yani hata miezi mitatu haipiti demu anawatoroka nakuanza kujitegemea na kudharau. Yakijaga bongo yanakujaga na si zaidi ya 3000k usd tena ya kukopa hayana lolote hata sisi wanaume Niggers tumewazidi maisha na tunawagonga madem zao bila hata kuhonga.
 
huyo sio mzungu
ni mhindi tena inawezekana wa bongo alizaliwa hapa akaenda kuishi UK
Ni choka mbovu mmoja aliechemsha huko UK, na kurudi bongo kuanza vloging
 
Kwa kuwa alieongea hayo ni mzungu wadau humu lazima wamtetee ila angezungumza mkenya au mnigeria ungeona povu la kutosha
Cc@infopreneur MIN Rorscharch
Thank you, nashukuru umeliona hilo watanzania wengi exposure hawana bado wanamuona mzungu kama mungu mtu na kubaguana wenyewe kwa wenyewe
 
huyo sio mzungu
ni mhindi tena inawezekana wa bongo alizaliwa hapa akaenda kuishi UK
Ni choka mbovu mmoja aliechemsha huko UK, na kurudi bongo kuanza vloging
Eti jamani mzungu gani analalamika namna hiyo😂
 
Wanaume pia mmenangwa na kusimangwa na kutukanwa umesikia? Shusha na essay nyingine kuhusu wanaume omba omba mliokandiwa hapo 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…