Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

Culture Me

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Posts
10,490
Reaction score
21,398

View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ

Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,

Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?

(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!

Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.
 
Kwa hiyo wanawake mmechukia ?
 
Kasema;

1. Wanawake wa bongo wanajali sana hela - Kweli

2. Wanawake wa bongo wanavaa sana mawigi - Kweli

3. Wanawake wa bongo hawajali muda mnapokubaliana kukutana - Kweli

4. Wanawake wa bongo wanataka uhudumie ndugu zao ukiwa nao kwenye mahusiano - Kweli

5. Ni ngumu kufanya maongezi ya maana na mwanamke ambaye hajasoma/hajasafiri nje ya Tanzania - Kweli

Tena haya mambo atakuwa anayapitia zaidi kuliko wenyeji kwasababu ni mzungu. Hajadanganya.
 
Mkisoma maelezo yangu vizuri mtaelewa maana yangu, kwanza ni kitendo cha kuwajumuisha wanawake wote wa KITANZANIA wakati yeye amekutana na WADANGAJI wa DAR na ZNZ,
Hayo yote aliyoyaongelea ni aina ya wanawake alokutana nao barabarani na kwenye bars na clubs alipaswa aainishe hayo kwenye maelezo yake badala ya kujumuisha wote,

Pili hayo maneno akiyasema mtanzania kwenda kwa mtanzania mwenzake sio habari ila kuyasema mzungu kwenda kwa Watanzania ndio habari ilipo

Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?

Nne hamuoni kama anawaogopesha wageni wenye matarajio ya kupata wenza wa maisha Tanzania kwa huo mjumuisho wake wa hao wanawake wadangaji na wanaume machawa anaokutana nao?
 
Mzee wetu Nyerere alipokuwa anahimiza na kusisitiza kupiga vita umasikini kwa nguvu zote hadi utokomee alikuwa anatusaidia kuja kuepukana na hizi changamoto za namna hii.

Umasikini ukikuvaa unakufanya unafanya maamuzi ya kipuuzi sana ikiwemo kulala na mtu kwasababu ya changamoto za kikawaida za kimaisha ukiamini yeye ana majibu ya kukusaidia hali yako itoweke.
Imagine mtu akimuona mzungu anaamini ana pesa za kutatua shida zake kumbe shida zake zinatatuliwa kwa kufanya kazi.
 
Mkisoma maelezo yangu vizuri mtaelewa maana yangu, kwanza ni kitendo cha kuwajumuisha wanawake wote wa KITANZANIA wakati yeye amekutana na WADANGAJI wa DAR na ZNZ,
Hayo yote aliyoyaongelea ni aina ya wanawake alokutana nao barabarani na kwenye bars na clubs alipaswa aainishe hayo kwenye maelezo yake badala ya kujumuisha wote,

Pili hayo maneno akiyasema mtanzania kwenda kwa mtanzania mwenzake sio habari ila kuyasema mzungu kwenda kwa Watanzania ndio habari ilipo

Tatu yooooote aliyoyasema yapo kwenye nchi zote za Kiafrica na nchi zingine maskini kwanini iwe TANZANIA tu?

Nne hamuoni kama anawaogopesha wageni wenye matarajio ya kupata wenza wa maisha Tanzania kwa huo mjumuisho wake wa hao wanawake wadangaji na wanaume machawa anaokutana nao?
1. Hajasema Tanzania tu, kasema nchi zinazoendelea kiujumla.

2. Anaogopesha wageni wapi, ukweli usemwe tu.

3. Mbona hutetei wanaume unavuta kwako tu, kasema wanaume wanachepuka sana, hawana hela, pia kachafua kabila la wachaga, kasema kuna mwanaume mchaga alikuwa akimuomba amlipie vitu bar😂

wanaume wote wako hivyo?
 
Mkuu tabia hizo kwangu ni 90% hata utaekutana nae akajifanya haombi pesa anazuga Tu wote ni walewale kibaya zaidi wnaigiza maisha unakutana na mtu anakutajia kinywaji ambacho yeye mwenyewe hawezi kujinunulia kila siku , kuna maajabu Sana , ukigundua mwanamke kakaa kutapeli wewe mtapeli zaidi ili apate adabu , ikiwezekana mpe ahadi ambayo haitotimia fullstop
 
View: https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ

Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake,
Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha chekesha kama fisi limeona fupa, mtu anaonesha ubaguzi wazi wazi kwa kuwaita Maskini, mna magonjwa ya zinaa, mnaomba omba, mnafake furaha na maisha bora n.k jitu linafurahi kisa hayo maneno kasema mzungu dah! naimagine huyo mzungu angekua amewasema hivyo Wasouth au Wanigeria sijui kama angekua anapumua sasa hivi,

Serikali inatumia billions of money kuita watalii Tanzania halafu watu kama huyu mzungu wanaongea uzushi na uongo ili kukimbiza watalii Tanzania, mtu kama huyu kwanini asifunzwe ili iwe fundisho kwa wageni wengine wakiwa nchini wafanye kilichowapeleka na sio kuongea uzushi na uongo kwenye mitandao?

(Hii tunaongea wenyewe kama familia) dada zetu wa Dar muwe na stara sisi tushawazoea kutuomba omba hela sasa akitokea mgeni mjikaze basi, wazungu hawajazoea kuombana ombana hela, tulia akupe mwenyewe, sio umekutana na mtu leo kesho unampa mkeka wa matatizo yako, kodi, bills, hospital, mama, wadogo zangu, acheni hizo mjishughulishe kama wenzenu wa mikoa mingine, mnawaponza wengine kwa makosa yenu, kadhalika kaka zetu ukitoka na mzungu usijibweteke bills zote alipe yeye jitutumie angalau hata mgawane nusu kwa nusu, unaweza ukasema nalipia vinywaji, lipia chakula au nalipia usafiri lipia chakula na vinywaji sio unajichekesha kesha tu ikija bill unavizia mwanaume mwenzio alipe haipendezi mbadilike!

Haya twendeni tukamshambulie huyo mzungu kwenye comments atukome waTZ.

Kwani uongo

Wanawake wa Tanzania kudate nao mzigo sana. Wengi wao ni masikini na nusu vichaa, na kuna wengine ni wananuka ile mbaya, mm nikikutana na mwanamke hata awe mzuri kiasi gani lakini kama anatumia marashi makali wala hata sitohngaika nae sababu hao huwa wananuka balaa wakivua, wanajificha kwa marashi makali
 
1. Hajasema Tanzania tu, kasema nchi zinazoendelea kiujumla.

2. Anaogopesha wageni wapi, ukweli usemwe tu.

3. Mbona hutetei wanaume unavuta kwako tu, kasema wanaume wanachepuka sana, hawana hela, pia kachafua kabila la wachaga, kasema kuna mwanaume mchaga alikuwa akimuomba amlipie vitu bar😂

wanaume wote wako hivyo?
Huyu mleta mada ni mdangaji wa kimataifa, na akishadanga huko anakuja bongo kuwasaga wenzake, hivyo anaogopa kuharibiwa soko.
 
Back
Top Bottom