Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga.
Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia wameshazihakiki ziko safe.
Basi naomba mamlaka ya chakula utupe ufafanuzi ili tuelewe.
Maana tumeona juzi dawa za watoto za kampuni ya Johnson zilikuwa na changamoto