Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

Niko hapa nasubiria majibu maana binti yangu ndio anamalizia kopo lake la kwanza tangu amezaliwa.
 
Halafu kuna yale lactogen, unaambiwa hii ya kenya na hii ya south africa.. bei zake ni tofauti mpaka unajiambia kuna jambo haliko sawa. Hii utakuta ni 30k hii ni 17k sijui.

Zile huwa zinanipa walakini.
 
Bongo vitu vingi vinaingia fake, na kuna Hennessy fake hizo ukinywa unamkabidhi wallet mchepuko bila kuombwa 🤣🤣🤣
 
Watakukamata tu, wananyunyuzia kwenye upandaji wa mmea wa Bob shauri yako 😂😂😂
Hapa nilipo nakula kitu huku nasikiliza ngoma za bob... Nimekosa kitu kimoja tu, angepatikana mtu wa BJ 😋 ingependeza.

Sikiliza turn you lights down low, lauryn hill ft bob.
 
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga.

Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia wameshazihakiki ziko safe.
Basi naomba mamlaka ya chakula utupe ufafanuzi ili tuelewe.

Maana tumeona juzi dawa za watoto za kampuni ya Johnson zilikuwa na changamoto
Hawatakujibu kamwe.
 
Back
Top Bottom