Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

Wifi yangu tajiri 😍😍😍
Mzalie kaka yangu sasa ili niwe nakuja kudokoa cerelac ya auntiii yangu
Wakati sasa hivi nimeanza kusoma text zake kwa herufi kubwa. Nimefuata ushauri wako🤣🤣🤣🤣
 
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga.

Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia wameshazihakiki ziko safe.
Basi naomba mamlaka ya chakula utupe ufafanuzi ili tuelewe.

Maana tumeona juzi dawa za watoto za kampuni ya Johnson zilikuwa na changamoto
Huku kwetu labda walete yasiyo na sukari
 
Wakati sasa hivi nimeanza kusoma text zake kwa herufi kubwa. Nimefuata ushauri wako🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Safi sana, endelea kusoma kwa herufi kubwa na usiisome kwa sauti yake utajichanganya..!!
 
Back
Top Bottom