Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kumbe.wanasubiria taarifa za nchi zingine.kwani wao hawana vipimo??Waulizwe TBS. Maana hizo mambo za vyakula na vipodozi zimehamia Tanzania Bureau of Standards
Sio lazimaKwani lazima mtoto atumie hayo?
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga.
Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia wameshazihakiki ziko safe.
Basi naomba mamlaka ya chakula utupe ufafanuzi ili tuelewe.
Maana tumeona juzi dawa za watoto za kampuni ya Johnson zilikuwa na changamoto
Huogopi dear?Umenikumbusha nikajinunulie Cerelac
Umesema sukari ndo nyingi kwa watoto. Mimi sio mtoto natumia mwenyewe😀Huogopi dear?
Unataka kunenepa?Umesema sukari ndo nyingi kwa watoto. Mimi sio mtoto natumia mwenyewe😀
Nakula mara moja moja. Hiyo kitu tamu sanaUnataka kunenepa?
Inanenepesha.ni dawa kwa vimbao mbao au wagonjwa wenye kutaka mwiliNakula mara moja moja. Hiyo kitu tamu sana
Unaweza ukammalizia mtoto yote kwa kuonjaonja