Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

Niko hapa nasubiria majibu maana binti yangu ndio anamalizia kopo lake la kwanza tangu amezaliwa.
 
Halafu kuna yale lactogen, unaambiwa hii ya kenya na hii ya south africa.. bei zake ni tofauti mpaka unajiambia kuna jambo haliko sawa. Hii utakuta ni 30k hii ni 17k sijui.

Zile huwa zinanipa walakini.
 
Bongo vitu vingi vinaingia fake, na kuna Hennessy fake hizo ukinywa unamkabidhi wallet mchepuko bila kuombwa 🀣🀣🀣
 
Watakukamata tu, wananyunyuzia kwenye upandaji wa mmea wa Bob shauri yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa nilipo nakula kitu huku nasikiliza ngoma za bob... Nimekosa kitu kimoja tu, angepatikana mtu wa BJ πŸ˜‹ ingependeza.

Sikiliza turn you lights down low, lauryn hill ft bob.
 
Hawatakujibu kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…