Mwanga Mkali
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 1,302
- 2,473
Uumbaji una maeneo mbali mbali uumbaji (kwa mujibu wa bible) labda tuanze na stage ya kwanza ambayo baadae bado haitakuwa ya kwanza, Mungu hajawahi kusema... (hakuna mahali iliposemwa Mungu aliumbaje roho (the holy trinity au malaika) Mungu aliumba mbingu na nchi stage 1.. ina maana gani mbingu ni universe na nchi ni Dunia hapo tunaona dunia ni sayari swali la kwanza sayari zipo ngapi? Alizuumba zote yeye Au galaxy zipo ngapi? Ok tuassume sayari ni dunia tu... turudi kwenye structure of the earth ni dude linaundwa na nitrogen, herium and other gases maana yake lilikuwa na joto kali sana (core of the earth inafika 6600C) so lilihitaji kupoa kabla ya kuruhusu uhai kukaa juu yake..
Kwa Mungu siku moja ni sawa na miaka 1000 so uumbaji haukufanyika siku sita za kibinadamu? Ilikuwa siku sita za kimungu right? Turudi kwenye uumbaji siku ya pili aliuumba mwanga tukumbuke before that hakukuwa na uhai dunia ilikuwa tupu yenye giza na ukiwa, (swali jingine kipi kilitangulia kati ya Jua, mwezi na Dunia) neno ukiwa means no life right? ... then kijiografia tunaona mwanga ambao ndio Jua na mwezi.. uliumbwa baada ya dunia? Then tunaona kila element za jua 99% ndio zilizopo duniani... na jua lina control dunia right? Yaani dunia ina rotate jua na sio jua kuzunguka dunia pia mwezi unazunguka Dunia right?
Ok my point is tunahangaika na kumwelewa Mungu na Shetani wakati hizi contradiction za mwanzo tu hatujazielewa? Ubongo wetu ni mdogo sana kumwelewa Mungu UKISOMA Isaya 45:7 utaona maelezo ya Mungu kwamba huleta nuru na balaa zote... so shetani ananafasi ndogo sana ya kusababisha balaa kwetu... still yeye ni roho isiyo na mwili but binadamu anavyote na utashi juu. Kwenye maelezo haya ndio kina Kiranga huja na assumption theories za Anunaki's the godess... miungu nk.