Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaita kazini vijana 1,453 kati ya 2,100 baada ya kupata kibali cha Rais Samia

Mkuu usikate tamaa km umeomba ukakosa omba tena Mungu mlezi atakufungulia njia nilishaombaga sana nikakosa. Oyooo Oyoooo Oyooooo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji14]
Kwahiyo mwamba umeajiriwa TRA uje kufunga biashara zetuuu.

#YNWA
 
Labda ni story ila mimi nilikuwa kigoma huko nikakutana na jamaa anafanya hapo ni engineer tukawa tunapiga story za miradi yao na masuala ya mishahara. Wao wakawa wanaponda serikali kuwa hakuna pesa yeye analipwa 8 kwa mwezi ndio akaniambia yule jamaa boss wetu anakula 45 kwa mwezi.
Tena akaniambia karibu watu wote wanaofanya kazi kigoma watakudanganya wanafanya UN ila kuna mashirika mengi tu ila UN ndio wanalipa ela kubwa hao wengine wana mishahara ya kawaida.
Sio kweli. Hata Country directors tu wa haya mashirika ya UN mshahara haufiki milioni 45/mwezi. Achilia mbali wale senior officials waliopo makao makuu. Huo mshahara uliosema hapo ni sawa na zaidi ya $240,000/mwaka.

Hapa chini nime-attach mishahara inayolipwa kuanzia mwaka huu mwezi wa kwanza.
 
Attachments

Nimeona Majina ya Rahel Oni isac sigala -mtoto wa Oni Sigalla wa bakita, Sarungi, Elena John Tutuba - Emmanuel Tutuba ni katibu mkuu Wizara ya Fedha au hawana undugu? YA MUNGU - Ni Naibu gavana wa benki kuu,
Kwani wakiwa na vigezo ni vibaya kuwapa nafasi?

#YNWA
 
Huko mtu kukunja 10M ni kawaida sana yani! Napenda sana kazi za NGO ila kupata sasa ndio ishu

Juzi kati hapa tulikuwa na trip ya Iringa to Ifakara and Kilombero aisee, nimekaa mara naskia msg ya nmb kuicheki nakuta 4m na ushee hela ya mafuta na per diem nikasema hapa sasa tunatafutiana lawama za waziwazi, nikae na hii hela ya mafuta halafu trip ilikuwa tunazinguka mwezi mzima ndio tunarudi ofisini, sasa imagine hiyo ni project tu ambayo ipo chini ya Taasisi ya serikali, je hao wa UN inakuaje mkuu...?

Na bado ukirudi unakutana na salary yako inakusubiri mkuu.
 
Vumilieni next week kuna zingine zaidi ya 30,000 zinakuja hasa walimu,madaktari na manesi..

Za kada zingine zitakuwa kiasi.Hata hivyo wale waliosomea Mambo ya kilimo na mifugo kuna ajira za mkataba wizara imemwaga ziko kama zote ingia page yao muombe.
Kazi za Kilimo na mifugo hizo za mkataba zimetoka page ipi mkuu
 
Juzi kati hapa tulikuwa na trip ya Iringa to Ifakara and Kilombero aisee, nimekaa mara naskia msg ya nmb kuicheki nakuta 4m na ushee hela ya mafuta na per diem nikasema hapa sasa tunatafutiana lawama za waziwazi, nikae na hii hela ya mafuta halafu trip ilikuwa tunazinguka mwezi mzima ndio tunarudi ofisini, sasa imagine hiyo ni project tu ambayo ipo chini ya Taasisi ya serikali, je hao wa UN inakuaje mkuu...?

Na bado ukirudi unakutana na salary yako inakusubiri mkuu.
Taasisi gani hiyo tulete barua za uhamisho man?
😋😋😋

#YNWA
 
Sio kweli. Hata Country directors tu wa haya mashirika ya UN mshahara haufiki milioni 45/mwezi. Achilia mbali wale senior officials waliopo makao makuu. Huo mshahara uliosema hapo ni sawa na zaidi ya $240,000/mwaka.

Hapa chini nime-attach mishahara inayolipwa kuanzia mwaka huu mwezi wa kwanza.
Basi labda alinipanga maana hakuwa mmoja yanj walikuwa kakikundi ka watu tunapiga story. Huenda na chumvi zilihusika humo
 
wenzio wote wanatembelea Dualis we utakubali utembee kwa mguu? Yani hao walioitwa Dodoma baada ya kuingia kitengo 50% lazma watachukua mikopo ya magari kupunguza machungu ya ukata!😅

Unachosema ni sahihi kuna siku nilienda nmb kuulizia mkopo wakaniambia nipeleke salary slip nikapeleka baada ya kukokotoa wakaniambia unaweza kupata mkopo wa 24m na unatakiwa kurudisha ndani ya miaka 7 ya Utumishi.

Kwa hiyo unachosema ni sahihi kabisa kwa hizi gari za 10-12m unapata bila ya wasi mkuu.
 
Sio kweli. Hata Country directors tu wa haya mashirika ya UN mshahara haufiki milioni 45/mwezi. Achilia mbali wale senior officials waliopo makao makuu. Huo mshahara uliosema hapo ni sawa na zaidi ya $240,000/mwaka.

Hapa chini nime-attach mishahara inayolipwa kuanzia mwaka huu mwezi wa kwanza.

Mkuu hawa jamaa madereva wao wanawalipaje kiongozi...?

Msaada tafadhali. Thanks.

🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
CCM wakikata anabakia na ngapi?

Ila mi Nina walakini, yaani entry level ya OFFICER II ni 2.4Mil?

Serikali gani inalipa mshahara mkubwa hivi kwa entry level?

#YNWA
Yaan watu wanachanganya mnooo, kuna shost angu kaniambia sio mda, kuwa TRA wanaoanza n 1.7m, yeye kamuuliza mchumba ake nae yuko huko kitengo.

Jana mie mie nilimuulza mtu yuko NMB bank, kaniambia ni 1.6m sasa hata sielew nishike lipi niache lipi. Mweeeeh.
 
Hakuna entry level ya Officer II serikalini ulipwe 2.4Mil
Nipo serikalini tokea 2012 na nimefanya tafiti nyingii za maslahi ya Utumishi wa umma.

Kwahiyo ya 1.7mil hapo sawa.

#YNWA
 
Hakuna entry level ya Officer II serikalini ulipwe 2.4Mil
Nipo serikalini tokea 2012 na nimefanya tafiti nyingii za maslahi ya Utumishi wa umma.

Kwahiyo ya 1.7mil hapo sawa.

#YNWA
Sasa hapa wanavyojazana matango pori? Kuna watu watakuwa suprised watakachokutana nacho huko. Lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom